Bwana yesu asifiwe song in english lyrics

Get lyrics of Bwana yesu asifiwe song in english song you love. List contains Bwana yesu asifiwe song in english song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


ROSE MUHANDO - NIBEBE LYRICS
Rose Muhando - Nibebe Lyrics. Swahili (English translation) Nibebe nibebe nibebe nibebe (Carry me, carry me, carry me, carry me) Nibembeleze nibebe (Comfort me, carry me) ... Bwana asifiwe kwa sana (We Praises the Lord very much) ... yesu nibebe (If anyone else carries me I will be in trouble, Jesus carry me) ...
Sauti Sol - Kuliko Jana Lyrics
Lyrics to 'Kuliko Jana' by Sauti Sol. Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko Jana
Mr Seed feat. David Wonder - Asifiwe Yesu Lyrics
Lyrics for Asifiwe Yesu by Mr Seed feat. David Wonder. Ulinijua kabla nizaliwe Bwana na ukanipenda sana Maisha yangu naileta Baba nitumie unavyot...
Sauti Sol feat. RedFourth Chorus - Kuliko Jana translation ...
English translation of lyrics for Kuliko Jana by Sauti Sol feat. RedFourth Chorus. Bwana ni mwokozi wangu Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazik...
Sauti Sol feat. Aaron Rimbui - Kuliko Jana translation in ...
English translation of lyrics for Kuliko Jana by Sauti Sol feat. Aaron Rimbui. Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazi...
Eunice Njeri - Bwana Yesu Lyrics
Lyrics for Bwana Yesu by Eunice Njeri. Bwana Yesu Bwana Yesu Kimbilio langu ni wewe baba Tumaini langu liko kwako Yahweh Mimi sin... Type song title, artist or lyrics
Ambassadors Of Christ Choir - Nimekupata Yesu translation ...
English translation of lyrics for Nimekupata Yesu by Ambassadors Of Christ Choir. Nime kupata yesu, nimepata yote, nimekupata bwana, sitahitaji tena aah, wewe, ndiwe hitaji...
Beatrice Muhone - Yesu Yuko Wapi Lyrics
Hrmz Jcbz suggested changes to these lyrics. bwana Yesu yuko wapi, mpenzi wangu rafiki njia gani amikwenda, nitamwonaje Mimi roho yangu yajutiswa, na dhambi na huzuni Yesu mpenzi wangu mwema, namtafuta kwa bidii Napaliza sauti yangu, nalia wapi Yesu ndani mwangu sina raha, mpaka nimwone Yesu ...
Sauti Sol - Kuliko Jana Lyrics
Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana Walimsulubisha Yesu Masia bila kusita Na Bwana ni mwokozi wangu Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi Si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko jana, kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko jana, kuliko jana
Christopher Tin - Baba Yetu Lyrics
Lyrics to 'Baba Yetu' by Christopher Tin: Baba yetu, yetu uliye (Our, our Father who are) Mbinguni yetu, yetu, amina (In heaven, our, our, amen) Baba yetu, yetu, uliye (Our, our Father, who are) Jina lako litukuzwe (Let's glorify your name)
Erick Smith - Patakatifu Lyrics
yesu husiponisaidia nani mwingine? halleluyah (lord if you don't help me who else will? halleluyah) patakatifu pako, ndipo nahitaji, (in your holy place is where i wanna be) mahali pa maaana, juu ya yote, (the greatest place above all) katika mikono yako mimi najiweka, (in your hands i place myself) nizungukwe mimi na uwepo wako (so that i can be sorrounded by your presence) niambie utakalo ...
Ambassadors Of Christ Choir - Twapaona Lyrics
Type song title, artist or lyrics ... twapaona kwa mbali karibu tutafika ni ng'ambo ya mto hapo ni nyumbani kwetu Bwana wetu Yesu kaketi kwenye kiti chake anatuombea kwa Baba ili tuwe washindi twapaona kwa mbali karibu tutafika ni ng'ambo ya mto hapo ni nyumbani kwetu Tutamlaki tukiuimba wimbo wa Musa tukisema haleluya Yesu asifiwe amina ...
Pompi feat. Mag44 & Esther Chungu - Bwana Lyrics
Lyrics for Bwana by Pompi feat. Mag44 & Esther Chungu. Lyrics for Bwana by Pompi feat. Mag44 & Esther Chungu. Type song title, artist or lyrics. Top lyrics Community Contribute Business. Sign in Sign up. LyricsBwana
Emachichi - Hakuna Kama Wewe Lyrics
HisRoyal Simon suggested changes to these lyrics. Hakuna Mungu kama wewe Hakuna popote Hakuna mwenye ishara kubwa kama wewe Mungu Si kwa majeshi wala silaha ni kwa roho mtakatifu Nguvu za giza zimeshindwa kwa jina la bwana yesu Hosana(7) Nguvu za giza zimeshindwa kwa jina la bwana yesu ...
Solomon Mukubwa - Mfalme Wa Amani translation in English ...
English translation of lyrics for Mfalme Wa Amani by Solomon Mukubwa. Daudi kasema, nilikuwa kijana sasa ni mzee ×2 Sijawahi ona mwenye haki ameachwa mimi Wala ...
Kidum - Number Moja Lyrics
Nafasi yote moyoni Nimeshaipa kwa yesu Ni namba moja, moja moja moja nafasi yote moyoni nimeshaipa kwa yesu ni namba moja moja moja moja Nimeshatembea nimeshazunguka kila pahali nikifika kila kona nimejaribu kutafuta kinachoweza kuridhisha moyo wangu nikatangatanga mashariki na kusini ili mradi nitafute nikamanga manga magharibi kaskazini kupata kile ninachotaka... wimbo nafasi yote moyoni ...
Upendo Nkone - Unastahili Kuabudiwa Lyrics
Joshua Samuel suggested changes to these lyrics. unastahili mungu wetu tunakusifu mungu wetu twa kuinua yale uyatendayo ni makuu muno fadhili zako za milele haufananishwi na chochote ndiwe uliye mwanzo tena ni mwisho unastahili yesu kuabudiwa unastahili yesu kuinuliwa unastahili yesu kushujudiwa aaa ...
Dan Em - Ainuliwe Lyrics
Stev Kayanda submitted the lyrics for this song. Are the lyrics correct? ... Lyrics for Ainuliwe by Dan Em. Ohhhhhhh Ainuliweeeee Ehhhhhhhh Ainuliweeeee Ainuliweeeee Ainuliweeeee Yesu ainuliweeeee Ainuliweeeee Baba ainuliweeeee Ainuliweeeee Jehova ainuliweeeee Ainuliweeeee (nasema) Ainuliweeeee (viumbe vyote) Ainuliweeeee Yesu aiunuliwe ...
Florence Mureithi - Omba Lyrics
Gethsamane Yesu Aliomba, Baba mapenzi Yako yatimizwe, Mungu kwa ajili yako na yangu kampa nguvu Akashinda Nawe omba, omba, utafute Uso wa Bwana Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi Dada omba, omba, utafute Uso wa Bwana Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi Ndugu omba, omba utafute Uso wa Bwana Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi 2 LYRICS: Mtafute Bwana Apatikanapo, Umuite sasa Yukaribu Asema ...
Emachichi - Imba Halleluya Lyrics
yeye astahili sifa, imba halleluya, halleluya, imba halleluya mwenye nguvu na uwezo, imba halleluya, halleluya, imba halleluya mwenye neema na rehema, imba halleluya, halleluya, imba halleluya bwana yesu asifiwe, imba halleluya, halleluya, imba halleluya bwana yesu asifiwe, imba halleluya, halleluya ...
Mike Kalambay - Bwana Yesu Lyrics
Lyrics for Bwana Yesu by Mike Kalambay. Lyrics for Bwana Yesu by Mike Kalambay. Type song title, artist or lyrics. Top lyrics Community Contribute. Sign in Sign up. LyricsBwana Yesu Mike Kalambay. Lyrics not available. Be the first to add the lyrics and earn points. Add lyrics. Musixmatch for Spotify and iTunes is now available for your computer
Miriam Mwanthi - Bwana Yesu Ni Mwema Lyrics
Lyrics for Bwana Yesu Ni Mwema by Miriam Mwanthi. Be the first to add the lyrics and earn points
Angela Chibalonza Muliri - Tabibu Lyrics
Nitabibu wa karibu tabibu wa ajabu na nehema na daima ni dawa yake njema hatufai kuwa hai wala hatatumai ila yeye kweli ndiye atupumzishaye Imbeni malaika sifa za Yesu Bwana Pweke limetukuka Jina lake Yesu Dhambi pia na hatia ametuchukulia twenendeni na amani hata kwake mbinguni uliona tamu jina la Yesu Kristo Bwana Yuna sifa mwenye kufa hasishindwe na kufa Imbeni malaika sifa za Yesu Bwana ...
Angela Chibalonza - Tabibu Lyrics
ni tabibu wa karibu, tabibu wa ajabu, na neema za daima ni dawa yake njema, hatufai kuwa hai, wala hatutumai ila yeye kweli ndiye atupumzishae imbeni malaika sifa za Yesu bwana, pekee limetukuka, jina lake Yesu. dhambi pia na hatia ametuchukulia twenendeni na amani, hata kwake mbinguni. uliona damu jina la Yesu kristo bwana, yu na sifa kwenye kufa asiishidwe na kufa. imbeni malaika, sifa za ...
Alice Kimanzi - Nikuabudu Lyrics
Lyrics for Nikuabudu by Alice Kimanzi. Moyo wangu wakutamani Ewe Baba Mwili wangu wa kulilia Kama vile ayala Atamanivyo maji akiona kiu Moyo wangu wakutamani Ewe Baba Mwili wangu wa kulilia Kama vile ayala Atamanivyo maji akiona kiu Nikuabudu Bwana, Nikuabudu Ndio tamaa yangu milele Yesu Nikuabudu Nikuabudu Bwana, Nikuabudu Ndio tamaa yangu milele Yesu Nikuabudu...
Jennifer Mgendi - Ee Yesu Nisaidie Lyrics
Lyrics for Ee Yesu Nisaidie by Jennifer Mgendi ee mungu baba kwako ninalia siana mwengine tena awezaye kunisaidia mawimbi mazito yana nipiganie maji mengi yanizamisha miye ee yesu unisaidie. sina penzi wala sina hata rafiki wote wametengwa nami ee yesu unusaidie. nimekuwa kama mtuu ashukae kaburini nami sina tena tuma ini ee yesu unisaidie.
Eunice Njeri feat. Billy Frank - Umeniweza Lyrics
Lyrics for Umeniweza by Eunice Njeri feat. Billy Frank. Moyo wangu wakupenda we wajua Moyo wangu wakuinua tazama Kwa kinywa changu nakusifu baba y...
Adorons L'eternel - Adorons l'Eternel Lyrics
Type song title, artist or lyrics. Top lyrics Community Contribute Business. ... Oo azali nzambe Azali nzambe Yesu azali nzambe Bwana asifiwe (bwana asifiwe mokonzi) Bwana asifiwe (mokonzi) Oo bwana asifiwe (mokonzi) Bwana asifiwe Bwana asifiwe Adorons l'eternel (adorons l'eternel des armés) Adorons l'eternel (exalté) Oo Adorons l'eternel des ...
Rose Muhando - Nipe Uvumilivu Lyrics
Type song title, artist or lyrics. Top lyrics Community Contribute ... (bwana wangu) baba Mungu nipe uvumilivu Bwana, bwana, Yesu nipe uvumilivu Bwana, bwana, Yesu nipe uvumilivu Hata ndugu zangu wamenigeuka Nahitaji faraja yako Wamejitenga mbali nami Nasogea kitini pako Mbele yangu kuna giza kubwa Ndiwe mwanga wa njia zangu Wewe ni bwana, mume ...
Angela Chibalonza - Ameniona Lyrics
Mimi nilikuwa kipofu muda wa siku nyingi Sikupata msaada kwa mwanadamu yeyote Yesu alipokuja kapaka udongo machoni mwangu Sasa nimeona acha nishuhudie makuu yake hallelujah Ooooo Yesu ameniona Ooooo Yesu ameniona Mimi nilitokwa na damu miaka kumi na miwili Waganga na madaktari hawakuweza kuniponya Nilipomuona Yesu nikagusa pindo la nguo yake Damu ikakauka sasa mimi nimepona hallelujah Ooooo ...
Rose Muhando - Nibebe Lyrics
Swahili (English translation) Nibebe nibebe nibebe nibebe (Carry me, carry me, carry me, carry me) Nibembeleze nibebe (Comfort me, carry me) Nichukue unibebe (Take me, carry me) Mikononi mwako niwe salama (In your arms so I will be safe) E mungu angalia kunena kwangu,(O God hear the words of my mouth) Na usikie sauti ya kilio changu (And listen to the sound of my cry) Moyo wangu umechoka sana ...
Evelyn Wanjiru - Celebrate Lyrics
Lyrics for Celebrate by Evelyn Wanjiru. Come on now shooooout Put your heads together for Jesus Everybody Celebrate Jesus Celebrate Jesus (Celebrate Jesus Celebrate Jesus) Did you hear that?
Eunice Njeri - Nani Kama Wewe Lyrics
Nicky Royal suggested changes to these lyrics. Nani kama wewe nakuinua mungu wangu leo nani kama wewe nakupenda (Ni nani Nani kama wewe nakuinua mungu wangu leo Nani kama wewe nakupenda)2 Miguuni pako, nakuinamia bwana heshima na utukufu baba nakupa yesu... Nmekuja nkuinue nmekuja nkupende miguuni ...
Angela Chibalonza - Amenena Mwenyewe Lyrics
Lyrics for Amenena Mwenyewe by Angela Chibalonza. Amenena mwenyewe Haleluyah Utaishi ukitazama. Ni ujumbe wa BWANA (Haleluyah) Wa maisha ya daima Amenena mwenyewe Haleluyah Utaishi ukitazama, aaaaaaah Tazama, ishi sasa, kumtazama Yesu, Amenena mwenyewe Haleluyah Utaishi ukitazama.
Doudou Manengu - Nina Haja Nawe Lyrics
Nina haja nawe; Kaa nami, Na maonjo haya, Hayaumi. Yesu, nakuhitaji, Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia. Yesu, nakuhitaji, Vivyo kila saa!
Found 35 lyrics.

Recent lyrics

jepa
tippa
k.n.d


Close Ad