Hakuna kama wewe bwana... lyrics

Get lyrics of Hakuna kama wewe bwana... song you love. List contains Hakuna kama wewe bwana... song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Get hot Hakuna Kama Wewe Bwana... lyrics at Lyrics.camp!
John Lisu - Tunakuabudu Bwana Lyrics
Hakuna kama wewe Bwana Matendo yako kwangu ni ya milele, Wewe wastahili, heshima dhamana nguvu, ooh! Uweza wako washangaza mataifa yote, eeh!
Fanuel Sedekia - Nani Kama Wewe Lyrics
The Lyrics for Nani Kama Wewe by Fanuel Sedekia have been translated into 1 languages Ni nani kama wewe Bwana(nani kama wewe)*4 Mwenye nguvu kama wewe Bwana(nani kama wewe) Ni nani kama wewe Bwana (nani kama wewe)
John Lisu - Twakusifu Lyrics
You will get 3 free months if you haven't already used an Apple Music free trial. Redeem your gift
John Lisu - Hakuna Kama Wewe Lyrics
hakuna kama, wewe hakuna kamwe. peke yako umetukuka nani kama wewe. mataifa yatetemeka nani kama wewe. umejivika heshima na nguvu nani kama wewe. ×3 mataifa yatetemeka kama wewe. haaaakuna mwingine kama wewe, nakwabudu mungu wetu wastahili. haaakuna mwingine kama wewe. ×2 hakuna kama wewe hakuna aaah kamwe peke yako umetukuka nani kama wewe.
Eunia Simbagoye - Bwana Yesu Ni Warehema Lyrics
Bwana Yesu ni warehema Bwana Yesu ni waupendo Bwana Yesu muweza yote Bwana Yesu ni wahuruma (2) Yeyeyeye Mungu wamiujiza Hakuna kama wewe Yesu w’urukundo Ntawuhwanye nawe Yesu w’Imbabazi Ntawuhwanye nawe Tukienda Australia Hakuna kama wewe Tukienda America Hakuna kama wewe Africa nzima Hakuna kama wewe Tunakwabudu wewe Hakuna kama wewe ...
Eunice Njeri - Bwana Yesu Lyrics
Tumaini langu liko kwako Yahweh Mimi sina uwezo Sina Bwana mwingine ila wewe mimi sina uwezo sina Bwana mwingine ila wewe Wewe ndiwe baba yangu Msaada wangu wa Karibu ...
John Lisu - Nitakushukuru Lyrics
Nitakusifu wewe kwa matendo makuu hakuna mwinine kama wewe. Nikurudishie nini bwana kwa ukarimu wako ulionitendea nitakipokea kikombe cha wokovu wako nakuzitangaza fadhili zako maana wewe wasitahili kusifiwa Hakuna mwingine kama wewe Bwana...
Dan Em - Kama Sio Wewe Lyrics
Kwa wema wako Bwana, leo nimeokolewa, kwa huruma zako nyingi, mimi nimesamehewa, na kwa pendo lako kuu, mimi nimekombolewa. Nasema umejawa na rehema na neema tele Baba yangu. Kama sio wewe, ningekuwa wapi mimi (kama sio wewe) Kama sio wewe, ningekuwa wapi mimi (ooh) Umejawa na rehema (umejawa) na neema tele (Yesu weee)Umejawa na rehema na neema ...
Fanuel Sedekia - Unastahili Lyrics
Lyrics for Unastahili by Fanuel Sedekia. Unastahili kuabudiwa unastihili ewe yesu unastahili kuabudiwa unastahili (Unastahili we) U...
Khadja Nin - Bwana C. Lyrics
Tangu nimeku ona Nakupenda nakupenda wewe Hakuna duniyani Mapendo zayidi iyi Najuwa kama Hayi wezekane Nakupenda nakupenda wewe We bwana wa ungine Sikuwa najuwa yangu Mapendo ya vile Kweli nime jaribu Kukusahabu wewe bwana Alakini mama ... siweze Usini one mubaya Sinta ku ingiliya Mapendo yangu Ita baki inje Nakupenda nakupenda wewe Aca niku imbiye Mayisha yangu wewe Waca niji imbiye Ata kama ...
Eunice Njeri feat. Kaberere - Natamani Lyrics
Yesu uuh wewe wanitosha Bwana wangu nakutamanii. Baba natamani uwe wangu nami niwe wako Chote kiliko changu kiwe ni chako bwana pia Upendo wangu kwako yesu ni kama motooo Nimekukimbilia nisiaibike Mileleleeee eeh baba ooooh Babaa natamani kua nawe kuishi Nawe kukaa nawewe kila siku babaaa.
Evelyn Wanjiru - Unatosha Lyrics
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Niko mbele zako Bwana, nikikiri watosha Amani yangu yatoka kwako Jehova Nissi, ushindi wangu Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Najua u pamoja nami, umenistawisha, ee Bwana Kibali na upendo wako umenipa, Yehova Umeniandalia meza mbele ya ...
Eunice Njeri - Nani Kama Wewe Lyrics
Nani kama wewe nakuinua mungu wangu leo nani kama wewe nakupenda (Ni nani Nani kama wewe nakuinua mungu wangu leo Nani kama wewe nakupenda)2 Miguuni pako, nakuinamia bwana heshima na utukufu baba nakupa yesu...
Lyrics Wewe Ni Alfa Na Omega - musixmatch.com
Lyrics for Wewe Ni Alfa Na Omega by Godwin Ombeni feat. Ruach Worship Team
Gloria Muliro - Nani Kama Wewe Lyrics
Mungu mkuu Ni nani kama wewe Ni nani kama wewe Ni nani kama wewe Mungu mkuu Kwa neno lako Bwana Uliumba dunia na vyote vilivyomo Baba Jina lako Baba Limeinuliwa juu ya yote Hakuna, hakuna kama wewe Ni nani kama wewe Ni nani kama wewe Ni nani kama wewe Mungu mkuu Ni nani kama wewe Ni nani kama wewe Ni nani kama wewe Mungu mkuu Uinuwae wanyonge Wawaketisha na wafalme Hakuna uwezaye tenda ila ...
Fanuel Sedekia - Ni Wewe Bwana Lyrics
Lyrics for Ni Wewe Bwana by Fanuel Sedekia. Lyrics for Ni Wewe Bwana by Fanuel Sedekia. Type song title, artist or lyrics. Top lyrics Community Contribute. Sign in Sign up. LyricsNi Wewe Bwana Fanuel Sedekia. Lyrics not available. Be the first to add the lyrics and earn points. Add lyrics.
Eunice Njeri - Nani Kama Wewe translation in English ...
English translation of lyrics for Nani Kama Wewe by Eunice Njeri. Nani kama wewe nakuinua mungu wangu leo nani kama wewe nakupenda (Ni nani Nani kama wewe n...
RECAPP FEAT. RIGGA - FIVE STONES LYRICS
Wewe ni Bwana wa mabwana Wacha nikuite Hosanna Wewe ni Bwana wa mabwana Wacha nikuite Hosanna (Saint P wih that beat) Bila we, bila, bila we Mimi siwezi, bila, bila we Kama we, niwe kama we, kama we Yesu Mwokozi, nani kama we If it wasn't for you Where would I be if it wasn't for you, and Where would I go If it wasn't by your grace
Sarah K - Nasema Asante Lyrics
Mungu nasema asanti Baba Nasema asanti kwa wema Wako Nakushukuru, nakushukuru Wewe Umenitendea makubwa Nainua Jina Lako, natukuza Jina Lako Unastahili Baba, Unastahili kuinuliwa Unastahili sifa na utukufu Wewe ni wa ajabu Umenilinda Baba, Umeniponya Umeniinua, Umenibariki Haleluya Jehova Jire Nakuinua, nasema asanti Baba, asanti kwa wema wako ...
Bwana Yesu Ni Warehema Lyrics - musixmatch.com
Bwana Yesu muweza yote Bwana Yesu ni wahuruma (4) Bwana Yesu kwanz'arituumba Hakuna kitu aricho tunyima Rakini sisi tukamtendea mabaya Bwana yesu ni wahuruma Bwana Yesu ni warehema Bwana Yesu ni waupendo Bwana Yesu muweza yote Bwana Yesu ni wahuruma Ndugu yangu ninakushauri Umpe Yesu maisha yako Ayataware akuweke huru Maana yeye ni muweza yote Bwana Yesu ni warehema Bwana Yesu ni waupendo ...
Erick Smith - Wewe Ni Zaidi Lyrics
Yale umetenda baba Yote Ni makuu Maana wayatenda kwa upendo Yale unasema baba Yote ni kweli Maana pia wayasema, kwa upendo Yale umetenda baba Yote Ni makuu Maana wayatenda kwa upendo Yale unasema baba Yote ni kweli Maana pia wayasema kwa upendo Wewe ni Mungu mkuu, Mfalme wa wafalme, Muumba wa mbingu na nchi, Heshima zote ni zako bwana, Hakuna ...
Angela Chibalonza - Ulinumba Nikuabudu Lyrics
Lyrics for Ulinumba Nikuabudu by Angela Chibalonza. haleluya Uliniumba nikuabudu bwana Uliniumba nikuabudu (Uliniumba nikuabudu) Kwa ajili ya... Type song title, artist or lyrics ... wa miungu eh haleluya baba Wewe kimbilio letu na ngome yetu Hakuna aliye kama wewe Uliniumba nikuabudu baba (Uliniumba nikuabudu oh) Pasipo wewe singekuwepo ...
Faith Mbugua - Bwana Umeinuliwa Lyrics
Bwana, Umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha enzi X2 wazee wale ishirini na wanne, eeh, hata nao wazikabidhi heshima zao, wanainama, mtakatifu ni wewe mungu, uuh, mtakatifu, mtakatifu ni wewe mungu.
Pastor Anthony Musembi - Niumbie Moyo Safi Lyrics
Na kubondeka mbele zako Nisikilize Yahweh Daudi akasema: Roho mtakatifu (hakuna kama wewe) Roho wake baba (hakuna kama wewe) Roho wa uweza (ni nani kama wewe) Roho wake Baba Hakuna kama wewe, Hakuna Mungu, kama wewe Hakuna kama wewe, Hakuna Mungu, kama wewe Create in me a clean heart, Create in me a new heart, A heart that is broken before you
Florence N. Mureithi - Wewe Ni Mungu Lyrics
(Vizazi hadi Vizazi, Vya kufahamu wewe Uliye mungu wa kale na uliye mungu wa leo Kazi zako zaonyesha ukuu wako wewe Umetukuka umeinuliwa ewe bwana)x2 Kweli wewe wewe ni mungu Kweli wewe wastahili Umeketi juu sana, kwenye kiti cha enzi Umejivika utukufu, wewe ni mungu (Nikitazama matendo yako na nguvu zako wewe Yadhihirika machoni mwangu wengine wote ni miungu Uumbaji wako waonyesha hekima yako ...
Dan Em - Hakuna Wa Kufanana Lyrics
Lyrics for Hakuna Wa Kufanana by Dan Em. Haaaaalellujah Haaaaalellujah hakuna wa kufanana naye Hakuna wa kufanana Yesu ee hakuna wa...
Ambwene Mwasongwe - Tangulia Mbele Lyrics
mbele zako Ninaomba nisaidie uende mbele yangu, Macho yangu hayaoni nini kiko mbele ...Natumaini weweee wewe umeona, tangulia mbele yangu bwana kanyooshe mapito.siwezi kwa ufahamu wangu nataka leo nishinde iiii (Kama ukienda mbele yangu hakuna jambo maagumu nitashindwa, nitajiachia kama tai nikijua wewe bwana uko mbele)x2 Mbele kuna hatarii, Mbele kuna maadui, mbele kuna vitisho mbele kuna ...
John Lisu - Nijaze Lyrics
Lyrics for Nijaze by John Lisu. Kama nchi kavu inavyotamani maji Bwana Na moyo wangu wakutamani wakutamani Bwana Ooh ooh ...
Mercy Masika - Wastahili Lyrics
Mungu wa wokovu wangu Wastahili kusifiwa Hakuna kama wewe, Yesu Kule kuwa kama Mungu Uliona si kitu Cha kushikamana nacho Ukaacha enzi ukashuka kwetu Kule kuwa kama Mungu uliona si kitu Cha kushikamana nacho Ukashuka kwetu Kutukomboa Kaburi lilishindwa kukushika shujaa Ukatoka na nguvu na mamlaka Umeketi enzini Wafungua wafungwa Twakuabudu ...
Angela Chibalonza Muliri - Uliniumba Nikuabudu Lyrics ...
Lyrics for Uliniumba Nikuabudu by Angela Chibalonza Muliri. Haleluya! uliniumba nikuabudu Bwana. uliniumba nikuabudu.(uliniumba nikuabudu) kwajili yak...
Khadja Nin - Bwana C Lyrics
Ujuwe kama Tangu nimeku ona Nakupenda nakupenda wewe Hakuna duniyani Mapendo zayidi iyi Najuwa kama Hayi wezekane Nakupenda nakupenda wewe We bwana wa ungine Sikuwa najuwa yangu Mapendo ya vile Kweli nime jaribu Kukusahabu wewe bwana Alakini mama ... siweze Usini one mubaya Sinta ku ingiliya Mapendo yangu Ita baki inje Nakupenda nakupenda wewe Aca niku imbiye Mayisha yangu wewe Waca niji ...
Erasto Shengezi feat. Eunice Njeri - Amenitoa Mbali Lyrics ...
Lyrics for Amenitoa Mbali by Erasto Shengezi feat. Eunice Njeri. Niseme nini bwana kwa ajili ya upendo wako, Baba uliacha utukufu mbinguni Baba kwa ajili y...
John Lisu - Jehovah Yu Hai Lyrics
Hakuna Kama Wewe. 05. Tunakuabudu Bwana. 06. Usifiwe Bwana. See more. Exclusive offer. Get up to 3 months of free music. You will get 3 free months if you haven't already used an Apple Music free trial. Redeem your gift. News you might be interested in. Musixmatch for Spotify and iTunes is now available for your computer
Pillars of Faith - Najivunia Yesu Lyrics
Lyrics for Najivunia Yesu by Pillars of Faith. Najivunia Yesu Bwana wangu kwa kunipa uwezo mwingi, kufa msalabani kwa ajili yangu najivun...
Isaac Kahurah Wangari - Umetukuka Lyrics
Umetukuka twakuheshimu Hakuna mwingine kama wewe Wewe mungu baba yangu nakuinua nakuabudu Wewe mwanzo tena mwisho Sitwasikia yudah hutashindwa Sauti yako twaielewa ...
Found 35 lyrics.

Recent lyrics

varco
mad mi