Hakuna kama wewe lyrics lyrics

Get lyrics of Hakuna kama wewe lyrics song you love. List contains Hakuna kama wewe lyrics song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Get hot Hakuna Kama Wewe Lyrics lyrics at Lyrics.camp!
Emachichi - Hakuna Kama Wewe Lyrics
Lyrics for Hakuna Kama Wewe by Emachichi. Hakuna Mungu kama wewe Hakuna popote Hakuna mwenye ishara kubwa kama wewe Mungu Si kwa majeshi wala silaha ni kwa roho mtakatifu Nguvu za giza zimeshindwa kwa jina la bwana yesu Hosana(7) Nguvu za giza zimeshindwa kwa jina la bwana yesu.
John Lisu - Hakuna Kama Wewe Lyrics
Hakuna kama, wewe hakuna kamwe. Peke yako umetukuka nani kama wewe. Mataifa yatetemeka nani kama wewe. Umejivika heshima na nguvu nani kama wewe. ×3 mataifa yatetemeka kama wewe. Haaaakuna mwingine kama wewe, nakwabudu mungu wetu wastahili. Haaakuna mwingine kama wewe. ×2 hakuna kama wewe hakuna aaah kamwe peke yako umetukuka nani kama wewe.
Faith Mbugua - Hakuna Mungu Kama Wewe Lyrics
Lyrics for Hakuna Mungu Kama Wewe by Faith Mbugua. hakuna mungu kama wewe ×2 uko juu sana wala kule kuzimu hakuna mungu kama wewe. hakuna mungu kama wewe ×2 uko juu sana wala kule kuzimu hakuna mungu kama wewe. gutiri ngai ungi tawe ×2 iguru nuno onakuria kuriku gutiri ngai ungi tawe Gidie Nesh.
Fanuel Sedekia - Nani Kama Wewe Lyrics
Lyrics for Nani Kama Wewe by Fanuel Sedekia. Ni nani kama wewe Bwana(nani kama wewe)*4 Mwenye nguvu kama wewe Bwana(nani kama wewe) Ni ...
Lyrics Twakupa Utakatifu - Musixmatch
(Wewe Baba) Wewe ndiwe wa pekee (Tunakuabudu tunakuinua, wewe Baba) Wewe ndiwe wa pekee (Twaliinua jina lako, twalisifu jina lako Yesu) Wewe ndiwe wa pekee (Hakuna kama wewe, uko pekee yako Mungu wetu) Wewe ndiwe wa pekee (Mbinguni na duniani hakuna kama wewe mtakatifu) Wewe ndiwe wa pekee (Tunakubariki Baba) Wewe ndiwe wa pekee (Tunakuinua ...
Lyrics Hakuna Mungu Mwingine - musiXmatch
Hakuna Mungu mwingine aliye kama Wewe, Hakuna Mungu mwingine aliye kama Wewe. Wewe ni Baba wa yatima, Wewe ni Mungu wa wajane Hakuna Mungu mwingine aliye kama wewe Wewe ni mwanzo tena mwisho, Wewe ni Mungu wa ajabu Hakuna Mungu mwingine aliye kama Wewe
Modest Morgan - Hakuna Mungu Kama Wewe Lyrics
Lyrics for Hakuna Mungu Kama Wewe by Modest Morgan. Lyrics for Hakuna Mungu Kama Wewe by Modest Morgan. Type song title, artist or lyrics. Top lyrics Community Contribute. Sign in Sign up. LyricsHakuna Mungu Kama Wewe Modest Morgan. Lyrics not available. Be the first to add the lyrics and earn points.
Lyrics Hakuna Mungu Kama Wewe - musiXmatch
LyricsHakuna Mungu Kama Wewe Modest Morgan, Na Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama Lutheran Church. Lyrics not available. Be the first to add the lyrics and earn points. Add lyrics. Musixmatch for Spotify and iTunes is now available for your computer Download now.
John Lisu - Nitakushukuru Lyrics
Nitakushukuru bwana Kwa moyo wangu wore Umenitendea Nitakusifu wewe kwa matendo makuu Hakuna mwinine kama wewe. Nikurudishie nini bwana kwa ukarimu wako ulionitendea Nitakipokea kikombe cha wokovu wako nakuzitangaza fadhili zako maana wewe wasitahili kusifiwa Hakuna mwingine kama wewe Bwana... Pokes sifa bwana Wa mabwana Pokes sifa wewe wasitahili.
Fanuel Sedekia - Unastahili translation in English ...
English translation of lyrics for Unastahili by Fanuel Sedekia. Unastahili kuabudiwa Unastihili ewe yesu Unastahili kuabudiwa Unastahili (Unastahili we) U...
Adawnage - Tulizo Lyrics
Nauliza, nimuogope nani mimi? Masiya, hakuna haya ya kukimbilia wewe Kwa maana nimeona hakuna kama wewe (Refrain) Hakuna, hakuna, mwenye penzi kama lako Baba Hakuna, hakuna, baraka kama zako wewe Hakuna, hakuna, aliyenifia ila wewe Hakuna, hakuna, ee ee (Refrain)
Dan Em - Hakuna Wa Kufanana Lyrics
Lyrics for Hakuna Wa Kufanana by Dan Em. ... Hakuna wa kufanana na Nissi Hakuna wa kufanana naye Ukiinua unainua kabisa Hakuna wa kufanana nawe Juu mbinguni hakuna kama wewe Hakuna wa kufanana nawe Pokea sifa Pokea sifa Pokea sifa Hakuna wa kufanana nawe Pokea sifa Pokea sifa Pokea sifa Hakuna wa kufanana nawe Milele hakuna kama wewe Hakuna wa ...
Fanuel Sedekia - Unastahili Kuabudiwa Lyrics
Lyrics for Unastahili Kuabudiwa by Fanuel Sedekia. Solo) Unastahili kuabudiwa, unastahili e-we Yesu Unastahili kuabudiwa, unastahili - Unastahili eeh All) Unastahili kuabudiwa (Unastahili wee) Unastahili e-we Yesu, Unastahili kuabudiwa, Unastahili eeh Solo) Ni nani kama wewe eeh All) Unastahili kuabudiwa, (Unastahili wee) Unastahili e-we Yesu, Unastahili kuabudiwa, Unastahili eeh Solo) Hakuna ...
Lyrics and Translation Wewe Ni Zaidi - musiXmatch
English translation of lyrics for Wewe Ni Zaidi by Erick Smith. Mi nashangaa, Nikielewa Wewe ni zaidi, ya vile nilivyoambiwa juu yako Tena sauti yako baba...
Pete Odera - Mwingine Lyrics
As you spoke it came to be You created land and sea There's none like you (echo) (Mwingine kama wewe baba hakuna Baba hakuna, Baba hakuna)2 When I fell down you picked me up When I was dry you filled my cup There's none like you (echo) You laid a table for me In the presence of my enemy There's none like you Jehovah Jireh You're my provider Jehovah Rapha You are my healer Jehovah Nissi You are ...
Pastor Anthony Musembi - Niumbie Moyo Safi Lyrics
Na kubondeka mbele zako Nisikilize Yahweh Daudi akasema: Roho mtakatifu (Hakuna kama wewe) Roho wake baba (Hakuna kama wewe) Roho wa uweza (Ni nani kama wewe) Roho wake Baba Hakuna kama wewe, Hakuna Mungu, kama wewe Hakuna kama wewe, Hakuna Mungu, kama wewe Create in me a clean heart, Create in me a new heart, A heart that is broken before you
Erick Smith - Wewe Ni Zaidi Lyrics
The Lyrics for Wewe Ni Zaidi by Erick Smith have been translated into 1 languages. Mi nashangaa, Nikielewa Wewe ni zaidi, ya vile nilivyoambiwa Juu yako Tena sauti yako baba yanizidia, Sauti zote, ninazosikia Mi nashangaa, Nikielewa Wewe ni zaidi, ya vile nilivyoambiwa Juu yako Tena sauti yako baba yanizidia, Sauti zote, ninazosikia Yale ...
Eunice Njeri - Bwana Yesu Lyrics
Lyrics for Bwana Yesu by Eunice Njeri. Bwana Yesu Bwana Yesu Kimbilio langu ni wewe baba Tumaini langu liko kwako Yahweh Mimi sin... Type song title, artist or lyrics ... wangu wa Karibu Hakuna hakuna nasema Hakuna kama wewe Mbinguni na dunia Hakuna Hakuna kama wewe ulimwengu wote tuseme Hakuna kama wewe ...
John Lisu - Twakusifu Lyrics
The Lyrics for Twakusifu by John Lisu have been translated into 1 languages
Bethu and Highest Praise - Mungu Wetu Lyrics
Juu mbinguni, duniani Jehovah hakuna kama Wewe Mataifa yakusifu Jehovah hakuna aliyefana nawe Tunasongasonga songa songa Tunasemasema sema sema Hakuna aliye kama Wewe Mungu wetu, Mungu wetu Hakuna aliyefana nawe Mungu wetu Mungu wetu Halleluyah halleluyah Hakuna aliyefana nawe Mungu wetu Mungu wetu Tumsifu Mungu wetu Tumsifu Mungu wetu Mungu wetu, Mungu wetu Hakuna aliyefana nawe Mungu wetu ...
EUNIA SIMBAGOYE - BWANA YESU NI WAREHEMA LYRICS
Hakuna kama wewe Yesu w’urukundo Ntawuhwanye nawe Yesu w’Imbabazi Ntawuhwanye nawe Tukienda Australia Hakuna kama wewe Tukienda America Hakuna kama wewe Africa nzima Hakuna kama wewe Tunakwabudu wewe Hakuna kama wewe Tunakwinuwa wewe Hakuna kama wewe Hakuna kama wewe Hakuna kama wewe Hakuna kama wewe Hakuna kama wewe yeyeyeye
John Lisu - Tunakuabudu Bwana Lyrics
Hakuna kama wewe Bwana Matendo yako kwangu ni ya milele, Wewe wastahili, heshima dhamana nguvu, ooh! Uweza wako washangaza mataifa yote, eeh! Wewe ni Mungu mkuu, wastahili heshima, Tunakuinua...
Walter Chilambo - Only You Lyrics
Lyrics for Only You by Walter Chilambo. Iyee iyeee Mmmmmhhh Maisha yangu yanawewe mungu Tumaini la moyo, kwako mim nimeliweka Msaa... Type song title, artist or lyrics ... ni wewe pekee yako tu Eehhh only you baba wa huruma ehh Jesus mwingi wa rehema ehh Only you hakuna kama wewe My god Mwenye kutoa buree Unayetupenda, Jesus Only you, yesu ...
Dan Em - Hakuna Wa Kufanana translation in English ...
English translation of lyrics for Hakuna Wa Kufanana by Dan Em. Haaaaalellujah Haaaaalellujah hakuna wa kufanana naye Hakuna wa kufanana Yesu ee hakuna wa... Type song title, artist or lyrics. ... Juu mbinguni hakuna kama wewe. In Heaven there's none like You. hakuna wa kufanana nawe.
EUNIA SIMBAGOYE - BWANA YESUS NI WAREHEMA LYRICS
Hakuna kama wewe Yesu w’urukundo Ntawuhwanye nawe Yesu w’Imbabazi Ntawuhwanye nawe Tukienda Australia Hakuna kama wewe Tukienda America Hakuna kama wewe Africa nzima Hakuna kama wewe Tunakwabudu wewe Hakuna kama wewe Tunakwinuwa wewe Hakuna kama wewe Hakuna kama wewe Hakuna kama wewe Hakuna kama wewe Hakuna kama wewe yeyeyeye
Gloria Muliro - Narudisha Lyrics
Abudiwa Bwana, tukuka Bwana, Heshimika Bwana, tukuka milele, Wewe ni Mungu hakuna kama wewe Bwana, Unayotenda hakuna mwingine awezaye tenda, Unarudishia watu miaka yao, waliopoteza Ulimrudishia Ayubu miaka yote aliopoteza, Mali yake watoto wote bwana ulirudisha, Tena maradufu, Bwana ulirudisha nami najua nitarudishiwa, Miaka yangu nitarudishiwa, Iliyoliwa na nzige nitarudisha, Eeeiee miaka ...
Dan Em - Ainuliwe Lyrics
Lyrics for Ainuliwe by Dan Em. Type song title, artist or lyrics. ... Ainuliweeeee (Ainuliweeeee ehhhh) Ainuliweeeee (ohhhhh baba) Ainuliweeeee Yesu aiunuliwe Hakuna kama yeye Mungu asieshindwa Alietupenda Nasema aiunuliwe Yeye ndie bwana Bwana wa mabwana Bwana wa majeshi Nasema aiunuliwe baba Ainuliweeeee (aiunuliwe) Ainuliweeeee (aiunuliwe ...
Evelyn Wanjiru - Unatosha Lyrics
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Niko mbele zako Bwana, nikikiri watosha Amani yangu yatoka kwako Jehova Nissi, ushindi wangu Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Najua u pamoja nami, umenistawisha, ee Bwana Kibali na upendo wako umenipa, Yehova Umeniandalia meza mbele ya ...
Madini Kenya - Uzuri Wako Lyrics
Lyrics for Uzuri Wako by Madini Kenya. Nikiwa Na wewe Matatizo Nasahau Kwa washika Dau Pesa zao Unadharau Hakuna kama wewe Toka M...
Eunice Njeri feat. Kaberere - Natamani Lyrics
Babaa natamani kua nawe kuishi nawe kukaa na wewe. Yesu uuh wewe wanitosha Bwana wangu nakutamanii. Baba natamani uwe wangu nami niwe wako Chote kiliko changu kiwe ni chako bwana pia Upendo wangu kwako yesu ni kama motooo Nimekukimbilia nisiaibike Mileleleeee eeh baba ooooh Babaa natamani kua nawe kuishi Nawe kukaa nawewe kila siku babaaa.
Gloria Muliro - Nani Kama Wewe Lyrics
Mungu mkuu Ni nani kama wewe Ni nani kama wewe Ni nani kama wewe Mungu mkuu Kwa neno lako Bwana Uliumba dunia na vyote vilivyomo Baba Jina lako Baba Limeinuliwa juu ya yote Hakuna, hakuna kama wewe Ni nani kama wewe Ni nani kama wewe Ni nani kama wewe Mungu mkuu Ni nani kama wewe Ni nani kama wewe Ni nani kama wewe Mungu mkuu Uinuwae wanyonge Wawaketisha na wafalme Hakuna uwezaye tenda ila ...
John Lisu - Jehovah Yu Hai Lyrics
These lyrics are waiting for review. If you found mistakes, please help us by correcting them. Edit lyrics. ... Hakuna Kama Wewe. 05. Tunakuabudu Bwana. 06. Usifiwe Bwana. See more. Exclusive offer. Get up to 3 months of free music. You will get 3 free months if you haven't already used an Apple Music free trial.
Lyrics Wewe Ni Alfa Na Omega - Musixmatch - Song Lyrics ...
Lyrics for Wewe Ni Alfa Na Omega by Godwin Ombeni feat. Ruach Worship Team. Type song title, artist or lyrics. Top lyrics ... Twakupa utukufu (Jehova) Twakuabudu Bwana wastahili sifa (Hakuna kama wewe...) Twakupa utukufu (Jehova wastahili) Twakuabudu Bwana wastahili sifa (Tunakupa heshima zote...) Twakupa utukufu (Oo Baba) Twakuabudu Bwana ...
Young Killer - Mungu Baba Lyrics
Lyrics for Mungu Baba by Young Killer. Lyrics for Mungu Baba by Young Killer. Type song title, artist or lyrics. Top lyrics Community Contribute Business. Sign in Sign up.
Florence N. Mureithi - Wewe Ni Mungu Lyrics
The Lyrics for Wewe Ni Mungu by Florence N. Mureithi have been translated into 1 languages (Vizazi hadi Vizazi, Vya kufahamu wewe Uliye mungu wa kale na uliye mungu wa leo Kazi zako zaonyesha ukuu wako wewe Umetukuka umeinuliwa ewe bwana)x2 Kweli wewe wewe ni mungu Kweli wewe wastahili Umeketi juu sana, kwenye kiti cha enzi Umejivika utukufu ...
Found 35 lyrics.

Recent lyrics

reana