Kijitodownload kijito cha utakaso free download lyrics

Get lyrics of Kijitodownload kijito cha utakaso free download song you love. List contains Kijitodownload kijito cha utakaso free download song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Beatrice Muhone - Kijito Cha Utakaso Lyrics
hivi hivi nitwae ×3 wokovu nisogeze eeya hivi hivi nitwae nina dhambi na sifai damu yako natumai naja hivi hukatai hivi hivi nitwae×3 wokovu nisogeze eeya hivi hivi nitwae kijito cha utakaso ni damu ya Yesu Bwana anao uweza kunipa wokovu kijito cha utakaso nizame kuoshwa humo namsifu Bwana kwa hiyo nimepata utakaso×2 Ni neema ya ajabu kumpa mwanadamu kabla Yesu kumjuaa Yesu kuwa msalabani
Beatrice Muhone - Yesu Yuko Wapi Lyrics
bwana Yesu yuko wapi, mpenzi wangu rafiki njia gani amikwenda, nitamwonaje Mimi roho yangu yajutiswa, na dhambi na huzuni Yesu mpenzi wangu mwema, namtafuta kwa bidii Napaliza sauti yangu, nalia wapi Yesu ndani mwangu sina raha, mpaka nimwone Yesu ningekua na mabawa ningeruka upesi, milimani mabondeni kumtafuta bwana angu Aondoa shida zangu maharibifu yotr, nikiona tabu Mimi anituliza yeye ...
Beatrice Muhone - Habari Njema Lyrics
Lyrics for Habari Njema by Beatrice Muhone. habari njema raha yangu yesu ndiye mwokozi wangu habari njema raha yangu yesu ndiye mwokozi wangu ndiye dhamana yesu wangu hunipa furaha za mbingu mrithi wa wokovu wake nimezama kwa roho yake habari njema raha yangu yesu ndiye mwokozi wangu habari njema raha yangu yesu ndiye mwokozi wangu kumsalim moyo wangu mara namwona raha yangu aniletea malaika ...
Beatrice Muhone - Mungu Wetu Mwamba Lyrics
Lyrics for Mungu Wetu Mwamba by Beatrice Muhone. Mungu Wetu yeye mwamba kimbilio taabuni Msaada kwenye shida ulio karibu sana Mwamba wetu kutupumzisha yu kivuli kuburudisha yu Mokozi katika njia kimbilio taabuni Mchana usiku yule kimbilio taabuni Hivyo hatutaogopa kwani yu karibu sana Mwamba Wetu kutumpuzisha yu kivuli kuburudisha yu Mokozi katika njia kimbilio taabuni Iwayo yeyote yeye ...
Found 4 lyrics.

Recent lyrics

wizkpi
zenaba