Leo sina maana kwako wewe kimwana lyrics

Get lyrics of Leo sina maana kwako wewe kimwana song you love. List contains Leo sina maana kwako wewe kimwana song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Dan Em - Kama Sio Wewe Lyrics
Ukaniregesha kwako, ukaniita mwanao. Kwa rehema zako na neema, mimi nimesamehewa. Kama sio wewe, ningekuwa wapi mimi (kama sio weeweee) Kama sio wewe (Baba), ningekuwa wapi mimi (Umejawa) Umejawa na rehema na neema tele. (Umejawa) Umejawa na rehema na neema tele. Kama sio wewe, ningeitwa nani leo. Ningekuwa sina jina, ningekuwa sina maana.
Otile Brown - DeJavu Lyrics
Nakupenda sina mfano Zaidi ya hizo nguo uvaazo Vipodozi na manukato Nyele Na hata pia rangi yako Nacho hitaji penzi lako na nimeridhika... Na hao wapinzani Wako hawana hathari yoyote Oh usikose usingizi Niamini nikisema nakesha kazini Fikra zako zisiende mbali Niko jembe mwenzio PRE-CHORUS Maana wewe ni yule yule yuuule... nisipokuona naugua Nakupenda vile vile viiiile... penzi langu ...
Abeddy Ngosso - Salama Lyrics
Lyrics for Salama by Abeddy Ngosso. Salama salama ooh ni salama kwake yesu ni salama Salama salama ooh ni salama kwake yesu ni salama napiga magoti leo nikileta mahitaji yangu kwako baba nisikie na unijibu maana sina mwingine wa kwenda nimuombe anibariki ila ni wewe nakuomba baba jibu mahitaji yangu Salama salama(ni salama) ooh ni salama(ooh sala salama) kwake yesu ni salama watoto wangu ...
Les Wanyika - Amigo Lyrics
Majirani na rafiki tulishakukanya sana Amigo, Heshimu mke na watoto wako, Heshimu baba na mama nyumbani, Na wakwe zako uwape heshima, Shemeji zako pia waheshimu, Tukawa sisi wabaya kwako, Shauri wetu hauna maana, Tukwache kama ulivyo Amigo, Sababu wewe ni bingwa wa maisha Mahari umeshalipa Amigo, Mkeo huna habari naye, Na leo yamekufika mambo ...
Found 4 lyrics.

Recent lyrics