Msaada wangu utatoka kwa bwana lyrics

Get lyrics of Msaada wangu utatoka kwa bwana song you love. List contains Msaada wangu utatoka kwa bwana song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Get hot Msaada Wangu Utatoka Kwa Bwana lyrics at Lyrics.camp!
Reuben Kigame - Nitainua Macho Yangu Lyrics
Maisha haya nayakabidhi kwako Mola wangu eeeh, Maisha yangu duniani yatawale wewe peke yako usinitupe Sifa na utukufu eeeh yatawale wewe peke yako eeeh baba; Nitayainua Macho Yangu Nitazame milima msaada wangu baba utatoka wapi msaada wangu katika bwana mbingu na nchi ni zake asiuache mguu wako usogezwe Hatasinzia hatalala yeye mlinzi wangu Atanilinda na mabaya yote na nafsi yangu ×2 2; Kama ...
Geraldine Oduor feat. Christina Shusho - Nitayainua Macho ...
Nitayainua macho yangu juu, nitazame milima Msaada wangu utatoka wapi, msaada wangu u katika Bwana Majeshi yajapo jipananga kupigana nami, moyo wangu hautaogopa Maana najua huzinzii wala hutalala, Bwana wangu utanipigania.
Christina Shusho - Nitayainua Macho Lyrics
Majeshi yajapojipanga kupigana nami Moyo wangu hautaogopa Maana najua husinzi wala hutalala Bwana wangu utanipigania 2 eeh Bwana nimeungojea wokovu wako na maagizo yako nimeyatenda nafsi yangu imezishika shuhuda zako nami nimekupenda mno nimeyashika mausia yako maana njia zangu zi mbele zako Bwana kilio changu yakikukaribia unifahamishe sawa na neno lako Dua yangu na ifike mbele zako uniponye ...
Kambua - Bado Nasimama Lyrics
Kwa wema wako, kanisimamisha na Imani yangu ukaiweka salama. Kama si wewe, mwamba wa wokovu wangu, nisingeweza, ningehangamia. Nainua macho yangu, kwako wewe baba yangu Msaada wangu utatoka wapi, Msaada wangu u katika bwana Hasinzii, ananindaye, aniachi mimi niteleze Anipa nguvu na uwezo wake, ili mimi nifike kule Nifike kule End.
Eunice Njeri - Bwana Yesu Lyrics
Tumaini langu liko kwako Yahweh Mimi sina uwezo Sina Bwana mwingine ila wewe mimi sina uwezo sina Bwana mwingine ila wewe Wewe ndiwe baba yangu Msaada wangu wa Karibu ...
Frank - Ni Juu Yako Lyrics
Umenilinda na kunihifadhi Fadhili zako za milele Ni ju yako Bwana mi naishi Umenilinda kwa... Type song title, artist or lyrics ... yako Bwana mi naishi Gongo lako na fimbo yako Yanifariji mimi Ni ju yako Bwana mi naishi Waandaa meza mbele ya watesi wangu Ni ju yako Bwana mi naishi Nipitapo kwenye uvuli wa kifo Wewe huniachi baba Ni ju yako ...
MARION WALI SHAKO - AHADI ZAKE LYRICS
Nafsi yangu usichoke, roho yangu msifu Bwana (Myself do not tire, my spirit praise the Lord)Alihadi atatenda, mtumanie Bwana (He promised he will do it, trust in the Lord)Ahadi zake ni za milele, akiahidi atatenda (His promises are forever, if he promises he will do it)Roho yangu ...
Phil Lesh & Friends - jam Lyrics
Lyrics for jam by Phil Lesh & Friends. Bado nasimama, (I'm still standing) Bado naendelea (I'm still continuing) Bado najikaza, (...
Reuben Kigame - Heri Siku Moja Lyrics
Lyrics for Heri Siku Moja by Reuben Kigame Ewe Mungu wa majeshi, ninapenda kukaa nawe, maskani zako zapendeza, nazikondea kwa shauku kubwa. Heri siku moja mbele zako, kuliko siku elfu mbali na wewe Ee Bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima.
PHIL LESH & FRIENDS - JAM LYRICS
Phil Lesh & Friends - jam Lyrics. Bado nasimama, (I'm still standing) Bado naendelea (I'm still continuing) Bado najikaza, (I'm still pressing on) Nifike kule (That I may rea
Bahati Bukuku - Dunia Haina Huruma Lyrics
Kwa kawaida zinakula sana mafuta' Nawatafuta marifiki wa mume wangu Na kwanza ninapofika hapo Wanaanza kunipa masharti Yanayorarua moyo wangu Nikimtazama mume wangu ndio kwanza anakoroma Nikimtazama daktari hawezi hata kunitazama Dunia haina huruma eeeh Dunia haina huruma ooh Mashemeji wamegoma kutoa misaada And is this our home town Mbea my ...
Janet Otieno feat. Christina Shusho - Napokea Kwako Lyrics ...
Lyrics for Napokea Kwako by Janet Otieno feat. Christina Shusho. Maisha magumu sana nimepitia (I've passed through struggles in life) Nikajaribu kutafuta m...
Mercy Wairegi - Nakutazamia Lyrics
Lyrics for Nakutazamia by Mercy Wairegi. We ni we kimbilio langu Wakati wowote nakukimbilia We ni we msaada wangu Usiku na mchana nakutazimia Nitaeleza sifa zako eh Baba Kwa mataifa wote wajue Ukuu wako unazidigi zimu Uaminifu wako wanishangaaza Napokuita wanisikia Napokuomba wanijibu Wakati wote wapatikana Zaidi swahibu Upokaribu We ndiwe (ni we?)
Angela Chibalonza - Ameniona Lyrics
Mimi nilikuwa kipofu muda wa siku nyingi Sikupata msaada kwa mwanadamu yeyote Yesu alipokuja kapaka udongo machoni mwangu Sasa nimeona acha nishuhudie makuu yake hallelujah Ooooo Yesu ameniona Ooooo Yesu ameniona Mimi nilitokwa na damu miaka kumi na miwili Waganga na madaktari hawakuweza kuniponya Nilipomuona Yesu nikagusa pindo la nguo yake Damu ikakauka sasa mimi nimepona hallelujah Ooooo ...
Marion Wali Shako - Ahadi Zake Lyrics
Nafsi yangu usichoke, roho yangu msifu Bwana Aliahidi atatenda, mtumainie Bwana Ahadi zake ni za milele, akiahidi atatenda Roho yangu nafsi yangu, mtumainie Bwana Kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi Na neno lake kwa kinywa chake, halitarudi bure Litatimiza mapenzi yake, litatenda alivyo sema Aliahidi atatenda, mtumainie Bwana Kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi Na neno ...
Reuben Kigame feat. Sifa Voices - Ombi Langu Lyrics ...
Kama ayala anatamani Maji huko jangwani Roho yangu inatamani Uso wa baba yangu Natamani nifike sasa Niabudu mbele zako Natamani kukuishia Hili ni ombi langu Ooh baba, ninatamani kukuona, dunia imenochosha Nitainua macho yangu Nitazame milimani msaada wangu watoka wapi Kweli ni kwako Bwana Wewe ni Mungu wangu Wewe ni mwamba wangu Wewe mpenzi wangu Wewe mwokozi wangu Siku nyingi nimetumika Kwa ...
Walter Chilambo - Only You Lyrics
Iyee iyeee Mmmmmhhh Maisha yangu yanawewe mungu Tumaini la moyo, kwako mim nimeliweka Msaada Wa karibu bwana, nitakusifu wewe tu nanitakutuza Nitapolemewa na mizigo, magonjwa na mateso sina wasiwasi tena Nipitapo uvuli wa mauti bwana, Gongo lako na fimbo yako vinanifariji bwana Umenifanya wa thamani umenitoa matopeni Umenikung'uta mavumbii ukanibariki Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri ...
Marion Wali Shako - Umeniandalia Meza Lyrics
Kwa uvuli wa mauti, sitaogopa kamwe Umeniandalia, meza mbele yangu Machoni pa watesi wangu, Bwana huniongoza Huisha nafsi yangu, katika njia za haki Kwa ajili ya jina lako, wewe upo nami Nimekukimbilia, Baba Mungu wangu Nisiaibike, mbele za watesi wangu Wewe upo nami, gongo na fimbo yako vyanifariji Baba, Sitaogopa kamwe Umeniandalia, meza mbele yangu Machoni pa watesi wangu, Bwana huniongoza ...
Found 18 lyrics.

Recent lyrics