Top song lyrics at Lyrics.cat
Ni nani kamtundika lyrics
Get lyrics of Ni nani kamtundika song you love. List contains Ni nani kamtundika song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).
Get hot Ni Nani Kamtundika lyrics at Lyrics.camp!
Pillars of Faith - Nyundo Lyrics
Ni nani kamtundika hapo juu, mtoto wa amani? Ni nani kamtundika hapo juu? Jitokeze unikabili Ni nani kamtundika hapo juu? Na halaiki ikanichekelea nikageuga nikaiona nyundo mkononi mwangu Mimi mwanajeshi wa kirumi, mtu wa kawaida. Nina mpenzi na watoto wangu. Najikaza tu Ni vipi ningemuua Yesu? Kweli kuna mtu mwingine.

Found 1 lyrics.