Nimechoka lyrics

Get lyrics of Nimechoka song you love. List contains Nimechoka song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Get hot Nimechoka lyrics at Lyrics.camp!
Rose Muhando - Nibariki Lyrics
nibariki na mimi kila siku taabu kila siku kilio machozi na huzuni (baaba) wenzangu wananicheka nipitapo kwenye taabu baba, naja kwako nibariki na mimi nimechoka kutamani vitu vizuri vya wenzangu nami nakuja kwako nibariki na mimi ikiwa ni laana ikiwa ni mikosi ilikwisha msalabani (baaba) neno lako linasema niite nitaitika nami nakuita bwana nibariki na mimi nibariki, nibariki, nibariki bwana ...
Marlaw - Pii Pii (Peep Peep) Lyrics
Nimechoka kungoja highway, nitapita popote mradi wee Ili kama ni kesi na iwe (hatuelewani) 2x Pii pii, move out of the way, nimechoka kupoteza time Nina siku nyingu kwenda home,
Sauti Sol - Girl Nextdoor Lyrics
Hey baby, nimechoka tu kupretend I know I'm jumping in the deep end What you doing for the weekend Hey baby, sina noma hii wikendi niko easy I want this turn up to be different
Rusty Kenyan Gucci - Niko Upside lyrics
Nimechoka na underground Nipe nafasi, nipe nafasi Usiwe na wasi au kasi x2 Verse 2 Am the best in Kenya, superior than the rest All the way from west, calling jah to bless yeah No matter what you claim, I will still excel Everywhere I go, everything I do Nobody will be, a crime to me
Mch. Abiudi Misholi - Nimechoka Unilinde Lyrics
Lyrics for Nimechoka Unilinde by Mch. Abiudi Misholi
Afrie - Yodi Yodi Lyrics
Afrie - Yodi Yodi Lyrics Afrie. Edit lyrics Print Lyrics What does this song mean to you? Show All ({{discussionTotal}}) Popular Right Now. MoonlightXXXTENTACION; ... nimechoka na waitin Oh Call me sooner than later Guno omukwano gwafe tugugye tugugye tugugyeei Yodi yodi dan dan star bby
Malika - Jonvu Kuu lyrics
Jonvu Kuu lyrics by Malika - lyrics explanations and song meanings. Mimi naishi mbali niko jonvu kuu / Kwa jina lake la pili hambiya Kismayu / Mungu tanipa sahali
Bright feat. Nandy - Umebadilika Lyrics
maelewano hakuna ukinikosea wataka kubembelezwa Hivi humu ndani mume nan Ukinikosea huombi samahani hivi kwan w n mke gani kazi kiburi tu na kisirani Kwanza nimechoka sana na zako kelele mi nalala bwana maana unaongea sana kila siku huishi lawama Ina maana ninanyoongea hayana mana haya ndo matatizo yako mama au mwenzangu umeshapata kabwana wenda ndio kanakuchanganya Umebadilika sana aaaaaa ...
Lady Jaydee feat. Kidum - Nitafanya translation in English ...
English translation of lyrics for Nitafanya by Lady Jaydee feat. Kidum. Ikiwa umeamua kunitoroka Ikiwa unahisi kwamba hujisikii nami tena na mbona imekuwa ngumu k...
Butera Knowless - Tulia Lyrics
Lyrics for Tulia by Butera Knowless. Tulia Tulia Sitakusumbua tena Tulia tulia Sitakumbusua tena I've been trying for so long N...
ROSE MUHANDO - NIBEBE LYRICS - SONGLYRICS.com
Nimechoka peke yangu safari ngumu no ndefu nibebe (I am tired and the journey is hard and long I can't by myself carry me) Nibebe nibebe nibebe nibebe (Carry me, carry me, carry me, carry me)
Rabbit King Kaka feat. Rich Mavoko - Lini Lyrics
Lyrics for Lini by Rabbit King Kaka feat. Rich Mavoko. Nachukia unaenda, furaha ulikuja Miaka ngapi wewe, bado hujanichuja Mapenzi ingekuwa mkate...
MB Dogg - Dear Lyrics
MB Dogg - Dear Lyrics MB Dogg. Edit lyrics Print Lyrics What does this song mean to you? Show All ({{discussionTotal}}) Popular Right Now. One DayLogic; ... Muda nawaza mpaka nimechoka Vile Dog mimi nina jina Mashori wengi tu wanashoboka Nnayempenda mimi hanipendi Nnachotaka kwake mi sipati Kukataa mpenzi ana haki nami Kumuacha moyo hautaki
Rose Muhando - Nibebe Lyrics
Lyrics for Nibebe by Rose Muhando. Swahili (English translation) Nibebe nibebe nibebe nibebe (Carry me, carry me, carry me, c...
Lady Jaydee - Siwema Lyrics
Na sasa nimechoka kweli nasema Nilidhani nimepata mpenzi wa kweli Nakumbe Nimepatikana na Mambo ya Ajabu Nia na madhumuni yako nimeshavitambua siwema kaka Siwema kaka, ah ah ah Unajitapa mbele ya rafiki zako kwamba mimi sina la kusema mbele yako Umeniweka kwenye kiganja mama unalo taka ndilo ninalofanya sababu wewe Ni mzuri sana Siwezi kupata mwengine kama wewe Siwema kaka, unajidang'anya Wema ...
Billnass - Sina Jambo Lyrics
Lyrics for Sina Jambo by Billnass. NINGAA! Ninga! Sina jambo³) Bill Nass Bill Nass! MJ Records Dax wa Chali! Sina Jambo³ Sina Jambo³ Ona wauni tena (sina jambo³) Ona wanangu tena (sina jambo³) Mentally nimekuwa mtaa sio geti kali Bob marley enzi Waya mkali nimechoka arifu tupia juu ya dari zile mboka arifu Isingekuwa ndoto bila kushare ...
Angela Chibalonza - Toka Chini Lyrics
Nimechoka maisha ya kuonelewa, nimechoka maisha ya kufinyiliwa, Nimechoka maisha ya kua chini, nataka bwana yesu ani inuwe,
Rose Muhando - Namtaka Yesu Lyrics
Lyrics for Namtaka Yesu by Rose Muhando. Yahweee Nainua macho nitazame pande zote Nione kama yupo wa kumweleza shida zangu Naona ha...
Kidum - Nitafanya Lyrics
Feels Like SummerChildish Gambino God Is A WomanAriana Grande Football's Coming Home3 Lions '98 In My FeelingsDrake Beautiful In WhiteWestlife Deen AssalamSabyan Gambus High Rated GabruGuru Randhawa highlight lyrics to add meaning ...
Jua Kali - Kwaheri Lyrics
Lyrics for Kwaheri by Jua Kali. Kwani nimewekewa madawa, siwezi kukuacha Kila mahali unaenda mi nakufuata Siogopi kukuambi...
Bahati Bukuku - Dunia Haina Huruma Lyrics
Msiba wangu ukaongezeka Dunia haina huruma Dunia haina uchungu Mimi na maisha yangu Leo nataka kutengeneza na Mungu Nimechoka kudanganya moyo wangu Nataka kutengeneza na Mungu Lazima kutengeneza na Mungu Nikimwambia mume anaweza kuniua Ila moyo wangu unanishuhudia ni lazima nimwambie Maana nataka kuteneneza na Mungu Mimi lazima nitengeneneza na ...
Them Mushrooms - Zilizopendwa Lyrics
Lyrics for Zilizopendwa by Them Mushrooms. kolo kolola mama kolola kolola kolo kolola mama kolola kolola embe dodo, embe dodo limela...
Lady Jay Dee - Siwema Lyrics
Lyrics for Siwema by Lady Jay Dee. Siiweema usinipe mateso ya moyo Na sasa nimechoka kweli nasemaa Siwema usinipe mateso ya ...
Martha Mwaipaja - Naiona Kesho Lyrics
Iliyopangwa na mungu Naiona kesho mimi kesho iliyopangwa na baba Kesho ya heshima aah Iliyopangwa na baba kesho ya Neema iliyopangwa na baba Kesho yenye utukufu iliyopangwa na baba kesho ya kuinuliwa iliyopangwa na baba Kesho ya ushindi ii iliyopangwa na mungu Kesho yenye nguvu iliyopangwa na baba Sitaki kuitazama Leo yangu mwenzenu Leo yangu ni shida.
Lady Jaydee feat. Kidum - Nitafanya Lyrics
Sitoweza(utaweza we) Nimechoka(Usichoke) Nimeshindwa (Usishindwe) Naondoka leooo Ukihesabu ni mara ngapi umenisamehe ni kama kuhesabu ni mara ngapi mtoto kaharibu nepi usichoke, usiondoke, usilie niko hapa kukulinda Kama kuna kosa nimewahi fanya, nieleze na kama kuna jinsi tunaweza leta, upatanishi na kama kuna kitendo ningeweza tenda Nitafanya ...
Dorcas Ndambuki - Nikificha Dhambi Lyrics
Lyrics for Nikificha Dhambi by Dorcas Ndambuki. Be the first to add the lyrics and earn points
Ommy Dimpoz - Wanjera Lyrics
Mama Wanjera Nakupenda Wanjera Oh mamamama Cheri Wanjera Nakupenda Wanjera Oh cheri na motemaa Oh Wanjerae Oh Wanjerae Oh Wanjeraeee Oh mamamamaa Oh Wanjerae (mama Wanjera) Oh Wanjerae (nakupenda Wanjera) Oh Wanjeraeee Oh mamamamaaa Oh Wanje Oh mamaee, mamaee Oh mamaaa Oh Wange Oh mama e e e oh mamae Oh Wanjera nimechoka ukapera nitaachana na wasera Ili mi niwe nawe Oh Wanjera Kuwa kichwa niwe ...
Mo Music - Basi Nenda Lyrics
Ile tamu imegeuka shubiri Nilipokuthamini nikakupa moyo Hata kutendwa sikufikiri Kinywa kizito kukubali ukweli Moyo unashindwa inaniuma ni hatari Mapenzi yanatawala dunia sawa Nimechoka kutawaliwa kama Uwepo wako sawa na muiba kidoleni Ile Asali wanalina wengine Siwezi kubishana na moyo Nilikupenda kipepeo Ila ile picha inaonyesha mapenzi yamekwisha Ooh () Basi nenda Na me ntafute sababu ya ...
Calvo Mistari feat. Patricia Kihoro - Loving Wrong Lyrics ...
Lyrics for Loving Wrong by Calvo Mistari feat. Patricia Kihoro. Our love ain't never been right, So why don't we love wrong All we do is fight, been at it...
Diamond - Nasema Nawee Lyrics
Mwenzako mimi turufu si garasa Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa Nasema naweee x3 (nawe nawe oh) Uso haya nasema naweee Nasema naweee x 3(nawew oh) Nimechoka nasema nawee Umezoea (nasema naweee) Chezea chezea (nasema nawee) Aaah!!
Mwasiti - Kaa Nao Lyrics
Lyrics for Kaa Nao by Mwasiti. Ooo ooh. Mmmmh... Kama sio wewe, nisingekuwa hapa. Kuficha upele, nisikune napowashwa. Kw...
Stereo - Achana Nae Lyrics
Lyrics for Achana Nae by Stereo. Mi tabasamu, majibu nayasubiri, Penzi lako tamu fanya alione kama shubiri, Na tena hakose...
Madee - Yote Maisha Lyrics
ukisema mapenzi kwangu utabaki mlezi sitoketi mpaka nione utekezi ukiniacha najua unanitesa kisa sina pesa kutwa nzima ningekesha sina zaidi ya kichwa changu ni wewe iweje wafaidi warukao kama mwewe ughiribu wa penzi mola huwa hapendi huwezi fananisha chupi cape na singlend ila zipo kwenye tv ama deki ebu jilinde mwenyewe nimechoka kua beki napata picha kwenye bed unavyo shake yani naumia sana ...
Found 33 lyrics.

Recent lyrics

ey ey
jetlag
rumba,