Nimekupata yesu mfalmwe mwema lyrics

Get lyrics of Nimekupata yesu mfalmwe mwema song you love. List contains Nimekupata yesu mfalmwe mwema song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Get hot Nimekupata Yesu Mfalmwe Mwema lyrics at Lyrics.camp!
Ambassadors Of Christ Choir - Nimekupata Yesu Lyrics ...
Nime kupata yesu, nimepata yote, nimekupata bwana, sitahitaji tena aah, wewe, ndiwe hitaji langu, ngome yangu na mwamba tengemeo langu katika hali jaza moyo wangu, upendo nikupende, u rafiki wa kweli, nifundishe kupenda aah, bwana, maana upendo wako, ndio pekee waweza, Kunifanya kiumbe kipya ...
Israel Ezekia - Wewe Ni Mwema Lyrics
Lyrics for Wewe Ni Mwema by Israel Ezekia. naja mbele zako mungu wangu nikiwa nazo he shi maa zoteee ninakiri yale uyatendayo haakika...
Solomon Mukubwa - Mungu Mwenye Nguvu Lyrics
katika roho na kwa kweli Na ni wakati huu – ukiwa ndani ya gari lako, ukiwa ndani ya basi unasafiri, ukiwa unafanya kazi ndani ya ofisi yako Jiunge pamoja nami tumwinue Bwana tumwambie wastahili uko mwenye nguvu Ukiwa uliamka asubuhi na haukumwambia kitu Mungu, ni wakati wa kumwambia Bwana ...
Lyrics and Translation Mfalme Wa Amani - musixmatch.com
English translation of lyrics for Mfalme Wa Amani by Solomon Mukubwa. Daudi kasema, nilikuwa kijana sasa ni mzee ×2 Sijawahi ona mwenye haki ameachwa mimi Wala ...
Tina Kuto Kalle - Yu Hai Lyrics
Mwokozi Yesu yu hai Yu hai ameleta nuru Yu hai katuletea wokovu Mwokozi Yesu yu hai. Yu hai Mungu wa rehema Yu hai kiongozi mwema Yu hai mfalme wa amani Yu hai mkate wa uzima Yu hai tumaini letu Yu hai msaada wetu Yu hai mkombozi wetu Yu hai Yu hai milele. Mwokozi Yesu yu hai Yu hai ameshinda kifo Yu hai katuletea ushindi Mwokozi Yesu yu hai
Ambassadors Of Christ Choir - Yatupasa Kushukuru Lyrics ...
Hebu tu tafakari Mungu atutendeayo Jinsi anavyo tujali Jinsi anayo nilinda Uhai wetu upitao tumsifu ungalipo Ni ya ajabu sana Matendo ya bwana Mungu Kinachosikitisha hatuyadhamini kabisa Lakini bwana ni mwema kwetu Hawezi tuacha Ni ya ajabu sana Matendo ya bwana Mungu Twapasa kushuru Kwa baraka ...
Solomon Mukubwa - Mfalme Wa Amani Lyrics
Daudi kasema, nilikuwa kijana sasa ni mzee ×2 Sijawahi ona mwenye haki ameachwa mimi Wala watoto wake kuombaomba mikate barabarani Mungu ni mwaminifu, kwa ahadi zake wanadamu Mungu ni mwaminifu, kwa ahadi zake si kama wanadamu Akiongea Yesu ameongea, Akikuahidia kitu, Baba ameahidi na ujasiri aah Atatenda kwa wakati wake yoyoo Ninamwita Bwana wa amani yeyeyee Ninamwita mfalme wa amani bwaanaa ...
Found 7 lyrics.

Recent lyrics