Niongoze wangu lyrics lyrics

Get lyrics of Niongoze wangu lyrics song you love. List contains Niongoze wangu lyrics song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Get hot Niongoze Wangu Lyrics lyrics at Lyrics.camp!
Kambua - Nishikilie Lyrics
Lyrics for Nishikilie by Kambua. Type song title, artist or lyrics ... Milele Nishikilie Nishikilie Gogo lako Na fimbo lako Lanifariji Baba eeh Waandaa meza mbele yangu Machoni pa watesi wangu Nishikilie Niongoze Mbali na waovu Baba eeeh Nionyeshe Njia zako Nami nitazifuata Milele Nishikilie Niongoze Mbali na waovu Baba eeeh Nionyeshe Njia zako ...
Christina Shusho - Ongoza Hatua Zangu Lyrics
Eeeh oooh wowowooo Hatua za mwenye haki za ongozwa naye bwana na bwana hufurahia njia zake wakati wote ×2 Nakukabidhi bwana njia zangu zote pia nakutumaini najua bwana utafanya hata nijapojikwaa sitaanguka chini bwana utanishika na kunitegemeza ×2 Eehh haleluya wewe bwana wewe bwana bwana nimegusa mkono wako wafanya siri kwa ndani yangu haleluya haleluya Mwangazie mtumishi wako uso wako mana ...
Rose Muhando - Ee Mungu Nitakushukuru Lyrics
Ee Mungu wangu mimi ninatukushukuru Mbele ya mataifa mimi nitaimba Dunia nzima nayo itambu... Lyrics for Ee Mungu Nitakushukuru by Rose Muhando. ... Bwana niongoze Uifundishe roho yangu habari za mbingu Sikizeni eh kizazi changu, Mungu anaishi Nipe moyo ya nyama, ulopondeka Moyo uliotulia, na unyeyekevu Mimi si kitu kwako, ni mzuri tu Mimi ni ...
Joyce Omondi - Tumaini Lyrics
Lyrics for Tumaini by Joyce Omondi. Maisha yangu usalama mkononi mwako Nakuhitaji wewe tu, umetosha Sitaogopa chochote ushafika mbele yangu Ninaye Mwanga Baba niongoze, nilinde Hadi unaponitaka Ee Baba niwezeshe, nishikilie Hadi nimalize safari Umenipangia mema, mema Tumaini la baadaye nilipate Hamna heri na kusaka mali ya dunia Hazina yangu iwe kwako Nitakufuata milele, moyo wangu wakutamani ...
Upendo Nkone - Hapa Nilipo Lyrics
Lyrics for Hapa Nilipo by Upendo Nkone. Eeeee eeee eee!! Uuuuuuu uuuu!! Hapa nilipo Ni kwa neema yako tu Nimefika ni kwa nguvu zako tu Nilipo toka ni mbali sanaaa Milima na mabonde nimepita mimi Hapa nilipo ni kwa mkono wako tu Nikefikaaa Ni Kwa uweza wako tuu Umenishika mkono Yesu!
Eunice Njeri - Nangoja Lyrics
Lyrics for Nangoja by Eunice Njeri. Nangoja, nakungoja bwanaa natulia, najua u Mungu Nibadilishe uniokoeee... naomba Ewe bwana...
Rose Muhando - Nibariki Lyrics
Nibariki na mimi Kila siku taabu Kila siku kilio Machozi na huzuni (baaba) Wenzangu wananicheka Nipitapo kwenye taabu Baba, naja kwako Nibariki na mimi Nimechoka kutamani vitu vizuri vya wenzangu Nami nakuja kwako Nibariki na mimi Ikiwa ni laana Ikiwa ni mikosi Ilikwisha msalabani (baaba) Neno lako linasema Niite nitaitika Nami nakuita bwana Nibariki na mimi Nibariki, nibariki, nibariki Bwana ...
Found 7 lyrics.

Recent lyrics