Shida lyrics

Get lyrics of Shida song you love. List contains Shida song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Get hot Shida lyrics at Lyrics.camp!
Mbosso - Shida Lyrics
Lyrics for Shida by Mbosso. Nasdaaa... Natoka zangu kwetu kibiti naisaka Dar es Salama Naenda Tafuta Riziki, Niwatunze...
Mbosso - Tamba Lyrics
Kijora cha mkopo Futa la nazi ujipare honey Na vijisabuni vya Magadi Nguru usimtoe chumvi ndio ladha yake Muunge tu nipe na chuzi na nyama yake Eeh kula ya mbuzi ni kamba yake Ye king'amuzi ni dishi lake Fungeni maturubai (Mkeshe mkisema) Wala hamtupi shida (Mkeshe mkisema) Ndo kwanza tunajidai (Mkeshe mkisema) Kama afisa wa nida ooh Tena daktari nimekuja na tiba sindano (Leta nichomeke ...
Emachichi - Nimkimbilie Nani Lyrics
nimkimbilie nani (eeeh eeh eeh) nimkimbilie yesu mwokozi wangu nimkimblie nani (eehhbeeh eeh) nimkimbilie nani (eeh eeh eeh) nimkimbile yesu mwokozi wangu nimkimbilie nani (eeh eeh) nimkimbilie yesu mwokozi wangu wakati wa majonzi, wakati wa shida ntamkimbilia yesu mwokozi wangu nimkimbilie nani (eeh eeh) ntamkimbilia yesu mwokozi wangu wakati marafiki watanitoroka ntamkimbilia yesu mwokozi ...
Mbosso - Watakubali translation in English
English translation of lyrics for Watakubali by Mbosso. Maaaaaaaa aaaah ah! Uh Ohohohohoh Oh Ohohoh! (Wasafiii) Hhhmm Maaaaaaaa aaaah ah! Iyoo Liz...
Mbosso - Haijakaa Sawa Lyrics
Au unadhani hata mimi napenda Nishazichoka na mimi Mboga za majani Kila siku mrenda Siko juu siko chini Niko nusu Sadoo Si wa kumi si Sabini Ngoma ngumu bado Kama ibada naswali sana Usiku wa manane tena Nafunga na Suna Mambo bado bado mwana wale Naona yanazidi kuguma Nikirudi na hasira hasira Nizoee Mambo magumu bado bila bila Niombee Nikirudi ...
Jimmy Gait - Appointment Lyrics
Siku moja nilikuwa na shida fulani Nikaona niombe usaidizi Kwa bosi fulani rafiki yangu Tumejuana naye kwa muda mrefu Simu yake ilikuwa iko mteja Kwa hivyo nikaenda kwa ofisi yake Nikaambiwa nitoe kitambulisho Na nikaangaliwa kama niko na bomu Wakaniuliza kama nina appointment Nikasema sina huyo ni rafiki yangu So wakasema " No, huwezi ona bosi" " Ni lazima, ni lazima uwe na appointment ...
Nikki Mbishi - Kila siku (Feat. Godzilla, Belle 9 & One ...
im doing this for me and im doing me for everybody hizi ndo anasa za maisha napuuza na black seven mitungi ganja nyingi madem utadhani heaven roc boys in the building nicki mbishi in the house from the floor to the ceiling girl groove and bounce i guess you know wat im talkin' bout mi na move gettin core kuprove naona soo now flow ina love now down to the beats hey lunduno whats up im still ...
Soul Influence - Peke Yangu (On My Own) Lyrics
Peke yangu sitaa weza Safari ndefu ya shida Peke yangu sita weza Kufika yerusalemu Peke yangu sitaa weza Safari ndefu ya shida Peke yangu sita weza Kufika yerusalemu Peke yangu sitaa weza Safari ndefu ya shida Peke yangu sita weza Kufika yerusalemu Nipe nguvu zakushanga Majaribu ya dunia Safari njema na bwana Naodha wa roho yangu Nipe nguvu zakushanga Majaribu ya dunia Safari njema na bwana ...
Kanjii Mbugua - Rauka Lyrics
Walikubaandika mtu wa shida Daktari alisema hakuna tiba Ulianguka tena na tena kumbuka Alikuokoa hakukusahau Ukapewa notisi hakuna kazi Ma auctioneers waka vuruga mali Ulianguka tena na tena, kumbuka Alikuokoa hakukusahau Rauka, inuka sahau yote yaliyopita Tazama mambo mapya Sahau yote yaliyopita Kumekucha, pambazuka, leo Twakushukuru Baba Twakuinua Baba Twakutukuza Baba Twakupokea Mfalme wa ...
Rayvanny - Chuma Ulete Lyrics
Nahisi ninabahati mbaya Kipi nilichokosea Nikijaribu kutafuta shida ndo zinakolea Mfukoni hali mbaya sio kama najitetea Ile pesa yakusuka mbona nilikuletea Mawazo yani yanani kolea Nikupe nini usijepotea Ndungura yani inanyong'onyea Lilinde penzi lisijeteketea Vitunguu Mboga za majani laki tano Kwenye genge Nyama tuu Nikupe milioni kwani unapika kenge Si Jana tuu Nimelipa pochi na doti za ...
Rose Muhando - Namtaka Yesu Lyrics
Lyrics for Namtaka Yesu by Rose Muhando. Yahweee Nainua macho nitazame pande zote Nione kama yupo wa kumweleza shida zangu Naona ha...
Mibaraka Mwinshere - Shida Pt. 1&2 Lyrics
Lyrics for Shida Pt. 1&2 by Mibaraka Mwinshere. Be the first to add the lyrics and earn points
Dr Jose Chameleone - Badilisha Lyrics
Simbilimbili mamba ma eee I got to go badilisha i let u go I got to go badilisha Unaniumiza sana ninateseka Ndani moyoni mimi naumwa I got to go kan'gendee I let you go sitaweezaaa Nimevumilia sana hutaki change Naona umeshindwa kubadilisha I got to go kankupewee I let you go mukwano nunyaaa ×2 Pete yaharusi ninayo kidoleni Nilikupenda mababy sorry Utampata mwingine dont worry ha haaaaa ...
Sauti Sol - Disco Matanga (Yambakhana) Lyrics
Shida mimi na kachali kangu hatusomagi pamoja Itabidi disco mi nifike nikihitaji kumuona Utanikosa shuleni lakini kwa vitabu utanisoma Hizi ngori mnashinda mkileta leo mtakoma Disco matanga Disco ma! Huwezi kunikosa Madjozi mjanja Madjozi ma! Siwezi nikakosa Disco matanga Disco ma! Huwezi kunikosa
Rayvanny - Chuma Ulete translation in English
Nikijaribu kutafuta shida ndo zinakolea. when I try to hustle problem are after me. Mfukoni hali mbaya sio kama najitetea. bad condition in my pocket. Ile pesa yakusuka mbona nilikuletea. the money for saloon I already gave you. Mawazo yani yanani kolea. I'm full of stress. Nikupe nini usijepotea.
Aslay - Mahabuba Lyrics
Weka shuka kwa kitanda tuje tulale mama Naomba ulale na kanga mana nimekumic sana Tunanenepa mamaa japo pesa hatuna Wanaumia sana kila wakituona, et wanauza vocha cha ajabu wanabeepbeep tu, wanataman ningekuacha wanaona wivuwivu tu, ehh nakuita nandy ndnd Wanataka kukuteka washenz, hawajui mim nawe toka enz, Tabia zao wala sizipend kitumbua ukitia mchanga nitaumbuka mwenzako Tafadhali ...
Sheeda - Angkat Kaki Lyrics
Lyrics for Angkat Kaki by Sheeda. Aku sudah tidak percaya padamu lagi Lebih baik engkau segera angkat kaki Aku benci. benci....
Diamond Platnumz feat. Rayvanny - Salome Lyrics
Hoera makulu vane, hoera ngambe Hoera na Zari, hoera ngambe Utamu kolea aprokoto Ting'ari ting'ari ndani kwa moto Nitamnyongea msokoto Niteme sumu kali kama kobokoo Eeeh Mapenzi yananipa shida Shida maama ni donda lisilokuwa na tiba Tiba bwana usije baby kanicharanga Kanichambua moyo kama karanga Mie baby kwenye msambwanda, huwa sienda ngenge ...
Angel Benard - Salama Lyrics
Nionapo amani kama shwari ama nionapo shida Kwa mambo yote umenijulisha ni salama rohoni mwangu Nionapo amani kama shwari ama nionapo shida Kwa mambo yote umenijulisha ni salama rohoni mwangu Salama rohoni Ni salama rohoni mwangu Salama rohoni Ni sakama rohoni mwangu Ingawa shetani alinitesa nalijipa moyo kwani Kristo uliuona unyonge wangu ulikufa kwa roho yangu Dhambi zangu zote wala si nusu ...
Reuben Kigame - Salama Rohoni Lyrics
Nionapo amani kama shwari, Au nionapo shida; Kwa hali zote umenijulisha, Ni salama rohoni mwangu. Salama, Salama, Rohoni, Rohoni, Ni salama rohoni mwangu. Ingawa Shetani atanitesa, Nitajipa moyo kwani; Kristo ameona unyonge wangu, Amekufa kwa roho yangu.
L Jay Maasai - Sigogo Lyrics
heroeroeroero (ljay maasai) sigogogo sigogogo sigogogo sinyonyonyo sinyonyonyo sinyonyonyo shida ngapi umepitia dhambi nazo umerudia ukahisi mama we we na mungu mlisha tengana shida ngapi umepitia dhambi nazo umerudia ukahisi kama wewe na mungu mlishatengana sema sigogo sema sinyonyo amo yesu aloreni ninyage digisho. iyeng'i(6)iyoo×2 walitaka sana na Mimi kunidanganya nakunifanya mimi ni wa ...
Aslay & Nandy - Subalkheri Lyrics
Aaaaah,aaaah,aaaah Aaaaah,aaaah,aaaah Subalkheri mpenzi waonaje hali yako Sabahalnuri laazizi hali yangu kama yako Wawaonaje wazazi nyumbani utoke yako Kawanusuru mwenyezi hofu yao juu yako Ebu nitoe majonzi unijuze shida yako Shida yangu sijiwezi,dawa yangu sura yako Ebu nitoe majonzi unijuze shida yako Shida yangu sijiwezi,dawa yangu sura yako Mwinginewe hachomozi nakupenda peke yako ...
Ben Pol feat. Cedo - Ntala Nawe Lyrics
Eh mpenzi we, usiwe na mashaka Ingawa mashida kesho tutatoboa Nikiwa kwa raha, tufurahi pamoja Na ninapo lia we wanipa faraja N'tala nawe n'tala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha dada N'tala nawe n'tala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua Ona nyota zetu zinavyo meta meta Na ukitabasamu unapendeza sana Nikiwa kwa giza umekuwa mwangaza Tuliopitia umenivumilia N'tala nawe n'tala nawe Kwenye shida ...
Beka Flavour - Sikinai Lyrics
Nina utulivu wa kondoo mwendo nainama eeeh Sina tamaa za jogoo kutaka kila tembe niwe nae Wivu ni donda la roho shida uko likizo Nyama ya kangaroo Ukinipanala sikinai kushiba sawa Nini ooh samaki ngalala nikaji choma mwiba na (Kangaroo) ukinipanala sikinai kushiba sawa Nini ooh samaki ngalala nikaji choma mwiba Wakikutia doa nitakupa jiki Mami ...
Rose Muhando - Nibariki Lyrics
Nibariki na mimi Kila siku taabu Kila siku kilio Machozi na huzuni (baaba) Wenzangu wananicheka Nipitapo kwenye taabu Baba, naja kwako Nibariki na mimi Nimechoka kutamani vitu vizuri vya wenzangu Nami nakuja kwako Nibariki na mimi Ikiwa ni laana Ikiwa ni mikosi Ilikwisha msalabani (baaba) Neno lako linasema Niite nitaitika Nami nakuita bwana Nibariki na mimi Nibariki, nibariki, nibariki Bwana ...
Willy Paul feat. Size 8 - Tiga Wana translation in English ...
English translation of lyrics for Tiga Wana by Willy Paul feat. Size 8. Willy, Willy, Willy Willy Willy Willy Willy, Willy Willy, Willy Msaafiii... Willy Pozee ak...
Lady Jay Dee - Joto Hasira Lyrics
uuhh sahau sahau shida ooh ishi ka ziliisa jana, say goodbye rest in peace shida knock knock money wenyewe wanasema usawa unakaba na rafiki wa kweli ni baba na mama hawa wengine wala husiwaamini maaana binadamu wa sasa wana roho saba watakua na wewe kwenye raha na hawatakua na wewe kwenye njaa
Nyashinski - Glory Lyrics
Society iko hapa inablame shida za Society kwa maryjane na kitu Society inahitaji main Ni kuepuka poverty na hizo machain Mnafunga wajunior nazo kwa brain Na juu sio za chuma mnaona ni game uh Mnaogopa kukuwa irrelevant Hiyo mi nishajitrain F... it! Glory si hupea God Lawama shetani na bangi Mamember urudi home na hope Pastor anaenda na ganji
Les Wanyika - Nimaru Lyrics
Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee... Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee... Ooooooo mwanamama oooo, Oooooooo mwanamama...
Bensoul - Niombee Lyrics
Mama, papa Naomba baraka kwenyu niondoke mimi Dada, brotherman Hebu someni kwa bidii ndio mje mjini Hapa, hapa nyumbani Sisi sio matajiri ila tunayo akili Chochote unachohitaji Ukikifanyia kazi Yeye atakibariki Ila wewe usisahau kuomba Na kila unapoomba Niombee, nikuombee Kwani maombi yangu pekee, hayawezi Niombee, nikuombee Kwani maombi yangu pekee, hayawezi My now (Everyday, all day) My ...
DJ Drobitussin - Every Girl Lyrics
shida mbili imagine unaamka tu asubuhi, unajipata unakatika na underwear, unakatika lingala, unakatika kilunda, unakatika mazangalewa imagine unaamka tu asubuhi, unajipata na ka sneaker na underwear, jana usiku mazee, ulikua na madem wamekutolea maunderwear kama kenye tulifanya si tulifanya.usiku tukafika tu asubuhi
Mbosso - Picha Yake translation in English
Moyoni mwiba nahema kwa shida, penzi msiba linaniliza mimi ehhe. in my heart there is wonder en am breathing so hard, love is funeral make me cry. Siku nikifa nizikwe na picha yake yeah, the day i die i want to be buried with her photo. iyeelele lile, naimani nitakutana nayeyeee ahahhha.
Wahu - Still A Liar Lyrics
Lyrics to 'Still A Liar' by Wahu. VERSE 1 LYRICS: Nakumbuka chali mmoja akinikatia my dear you know that you are my number one sikujua kulikuwa na number two, number three and number four [dunia ina mambo]
Yamoto Band - Cheza Kwamadoido Lyrics
Zungusha bodi uwaoneshe jinsi gani waweza kujidai. We furahi jidai Na cheza kwa mbwembwe Usione hatari kufurahi Hata kama Kikongwe! Uko mali we karibia Yamoto tuku konge Wote shida zetu ziko nyumbani Hapa turuke ili song Alleeeh! Cheza kwa madoido kwa manjonjo x2 Sema Cheza kwa madoido kwa manjonjo Aleeeh!
Diamond Platnumz - Ntampata Wapi Lyrics
Ntampata Wapi Kama Yule Niliompendaga Saana Ntampata Wapi Kama Yule Nae Anipende Sana Ntampata Wapi Kama Yule Niliompendaga Saana Ntampata Wapi Kama Yule Nae Anipende Sana Aii, Aii Nyotaa ahh Nyota Ndo Tatizo Langu Aii Nyota Ahh Hadi Nalia Pekee Yangu Aii Nyota Ahh Nyota Ndio Shida Yangu Nyota Ahh Wamenizidi Wenzangu Alidanganywa na Wale (Walee ...
Found 35 lyrics.

Recent lyrics

shida
kesho
ciroc
ui
pami