Tenzi za rohoni 117 lyrics

Get lyrics of Tenzi za rohoni 117 song you love. List contains Tenzi za rohoni 117 song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Get hot Tenzi Za Rohoni 117 lyrics at Lyrics.camp!
Ev. Elizabeth Nyambura - Mbele Ninaendelea Lyrics
Mbele ninaendelea ninazidi kutembea maombi uyasikie eeh bwana unupandishe, Ee bwana uniinue kwa imani nisimame nipande milima yote Ee bwana unipandishe, Sina tamaani nikae mahali pa shaka kamwe hapo wengi wanakaa kuendelea naomba, Ee bwana uniinue kwa imani nisimame nipande milima yote we bwana unipandishe, Nisikae duniani ni mahali pa shetani natazamia mbinguni nitafika kwa imani, Ee bwana ...
Ev. Mwakitalu - Hapana Rafiki Kama Yesu Lyrics
Lyrics for Hapana Rafiki Kama Yesu by Ev. Mwakitalu. Yesu ajua shida zetu, Aweza kutuongoza Hapana rafiki kama yesu Yu pekee, Yu pekee.
Henry Mwema - Mapenzi Ya Mungu Lyrics
Lyrics for Mapenzi Ya Mungu by Henry Mwema. Be the first to add the lyrics and earn points
Emachichi - Liko Lango Lyrics
Lyrics for Liko Lango by Emachichi. Liko lango moja waaazi Ni lango la mbinguniii Na wote wa ingiaawo Watapata nafasiiii Yesu ...
Salama Rohoni lyrics by Sheddy with meaning. Salama Rohoni ...
Ni salama rohoni mwangu [chorus] Salama rohoni, Ni salama rohoni mwangu [verse 2] Ingawa shetani atanitesa Nitajipa moyo kwani Kristo ameuona unyonge wangu Amekufa kwa roho yangu [chorus] Salama rohoni, Ni salama rohoni mwangu [verse 3] Dhambi zangu zote wala si nusu Zimewekwa msalabani Wala sichukui laana yake Ni salama rohoni mwangu [chorus ...
Beatrice Muhone - Kijito Cha Utakaso Lyrics
hivi hivi nitwae ×3 wokovu nisogeze eeya hivi hivi nitwae nina dhambi na sifai damu yako natumai naja hivi hukatai hivi hivi nitwae×3 wokovu nisogeze eeya hivi hivi nitwae kijito cha utakaso ni damu ya Yesu Bwana anao uweza kunipa wokovu kijito cha utakaso nizame kuoshwa humo namsifu Bwana kwa hiyo nimepata utakaso×2 Ni neema ya ajabu kumpa mwanadamu kabla Yesu kumjuaa Yesu kuwa msalabani
Sarah K - Niinue Lyrics
Lyrics for Niinue by Sarah K. 1 Mbele ninaendelea ninazidi kutembea Maombi uyasikie eeh bwana unipandishe Mbele ninaend...
Reuben Kigame - Yesu Kwetu Ni Rafiki Lyrics
Lyrics for Yesu Kwetu Ni Rafiki by Reuben Kigame. Yesu kwetu ni Rafiki, Huambiwa haja pia; Tukiomba kwa Babaye Maombi asikia; Lakini twajik...
Dena Mwana - Roho yangu Lyrics
Lyrics for Roho yangu by Dena Mwana. Sijuwe nitete ye je Kwani maneno ya mimenipita aah Nguvu na Ukwabwa wa pendo lako Huwezi k...
Found 9 lyrics.

Recent lyrics

makana