Tenzi za rohoni ni salam lyrics

Get lyrics of Tenzi za rohoni ni salam song you love. List contains Tenzi za rohoni ni salam song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Get hot Tenzi Za Rohoni Ni Salam lyrics at Lyrics.camp!
Ev. Mwakitalu - Hapana Rafiki Kama Yesu Lyrics
Yesu ajua shida zetu, Aweza kutuongoza Hapana rafiki kama yesu Yu pekee, Yu pekee. Hapana rafiki kama yesu, Yu pekee, Yu pekee Hapana mpozi kama yesu Yu pekee, Yu pekee. Yeye anaye sifa ni yesu Yu pekee, Yu pekee Ndiye aliye mnyenyekevu Yu pekee, Yu pekee. Yesu pamoja nasi daima, Yu pekee, Yu pekee Kwa usiku aleta salama Yu pekee, Yu pekee.
Salama Rohoni lyrics by Sheddy with meaning. Salama Rohoni ...
[verse 1] Nionapo amani kama shwari Ama nionapo shida Kwa mambo yote umenijulisha Ni salama rohoni mwangu [chorus] Salama rohoni, Ni salama rohoni mwangu [verse 2] Ingawa shetani atanitesa Nitajipa moyo kwani Kristo ameuona unyonge wangu Amekufa kwa roho yangu [chorus] Salama rohoni, Ni salama rohoni mwangu [verse 3] Dhambi zangu zote wala si nusu Zimewekwa msalabani Wala sichukui laana yake ...
Ev. Elizabeth Nyambura - Mbele Ninaendelea Lyrics
Mbele ninaendelea ninazidi kutembea maombi uyasikie eeh bwana unupandishe, Ee bwana uniinue kwa imani nisimame nipande milima yote Ee bwana unipandishe, Sina tamaani nikae mahali pa shaka kamwe hapo wengi wanakaa kuendelea naomba, Ee bwana uniinue kwa imani nisimame nipande milima yote we bwana unipandishe, Nisikae duniani ni mahali pa shetani natazamia mbinguni nitafika kwa imani, Ee bwana ...
Beatrice Muhone - Kijito Cha Utakaso Lyrics
hivi hivi nitwae ×3 wokovu nisogeze eeya hivi hivi nitwae nina dhambi na sifai damu yako natumai naja hivi hukatai hivi hivi nitwae×3 wokovu nisogeze eeya hivi hivi nitwae kijito cha utakaso ni damu ya Yesu Bwana anao uweza kunipa wokovu kijito cha utakaso nizame kuoshwa humo namsifu Bwana kwa hiyo nimepata utakaso×2 Ni neema ya ajabu kumpa mwanadamu kabla Yesu kumjuaa Yesu kuwa msalabani
Emachichi - Liko Lango Lyrics
Lyrics for Liko Lango by Emachichi. Liko lango moja waaazi Ni lango la mbinguniii Na wote wa ingiaawo Watapata nafasiiii Yesu ...
Sarah K - Niinue Lyrics
Si natamani nikae mahali pa shaka kamwe Hapo wengi wanakaa kuendelea naomba Nisikae duniani ni mahali pa shetani Natazamia mbinguni nitafika kwa imani Repeat chorus 3 Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe Repeat chorus ...
Reuben Kigame - Yesu Kwetu Ni Rafiki Lyrics
Lyrics for Yesu Kwetu Ni Rafiki by Reuben Kigame. Yesu kwetu ni Rafiki, Huambiwa haja pia; Tukiomba kwa Babaye Maombi asikia; Lakini twajik...
Found 7 lyrics.

Recent lyrics

stones