Tupendane mimi na wewe lyrics

Get lyrics of Tupendane mimi na wewe song you love. List contains Tupendane mimi na wewe song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Get hot Tupendane Mimi Na Wewe lyrics at Lyrics.camp!
Tiwa Savage - Pakalamisi Lyrics
Nishikilie, mimi na wewe Baby can't you see Tuishi kwa sasa (Aah) What you feel what what you wanna do I'm loosing sleep can't get over you Forget about the rest It's just me Pakalamisi Boy you dey Pakalamisi ooh aah Hold it, hold it Baby hold it, hold it Boy you dey Pakalamisi Call police you dey Pakalamisi ooh aah Hold it, hold it Baby hold ...
Avril Nyambura - Kitu Kimoja (Mimi Na Wewe) Lyrics ...
Lyrics to 'Kitu Kimoja (Mimi na Wewe)' by Avril Nyambura. VERSE 1 LYRICS: I wish you see how prietty I look In this shoes that you bought for me na ma-time natamani ungeona how happy you make me
Cindy - Nawewe Lyrics
I'm sorry for the wrongs i have done to you if i cud've go back and change, but am fresh and blood baby i make mistakes Oh najua nimekukosa, sasa hivi umenichoka Mpenzi naomba unisamehe, sahau zote unirudie, nimejuta chochote nilivofanya, ntawezaje bila wewe, asali wa moyo wangu, naamini nilikuumiza rohonii, naamini pia ulilia machozi mengii oh ...
Les Wanyika - Sina Makosa Lyrics
mimi na wewe. hasira za nini wee bwana hasira za nini wee bwana wataka kuniua bure baba wataka kuniua bure baba. wewe una wako nyumbani nami nina wangu nyumbani chuki ya nini kati yangu mimi na wewe chuki ya nini kati yangu mimi na wewe. Check Out. NEW SONG: AC/DC - "Shot In The Dark" - LYRICS;
Ali Kiba - Cinderella Lyrics
Lyrics to 'Cinderella' by Ali Kiba: 2fois (owa! uh! uh! uh! uh! uh! uh! uh! yahe! yahe) mara ya mwicho mimi na wewe ku onana kipindi kile twosoma chule ya mzingi kigoma yahe! yahe najuwa uli nipenda ila hauku taka penzi ku lilinda ugesema mapema ili niuma sana (mimi leo niko dar aliye nipenda nilicha mu howa je wataka kumujuwa jina ahitwa cinderella) rudi home wewe rudi nyumbani wa salimiye ...
Benady - Mimi Na Wewe Lyrics
Lyrics to Mimi Na Wewe Lyricsmania staff is working hard for you to add Mimi Na Wewe lyrics as soon as they'll be released by Benady, check back soon! In case you have the lyrics to Mimi Na Wewe and want to send them to us, fill out the following form:
Joh Makini feat. Chidinma - Perfect Combo Lyrics
Chagua ilinishinda chaguzi ni nyingi Kimsingi tulianza na msingi And winner is me and you washindi Kweli nashukuru mungu ashenalee Changu ni chako mega jipendelee Sioni sababu mi nisikupendelee Mi nashika nishike tuendelee Mahaba ni misumari nigongelee Taabani niteketee Tahadhari tuweke bango wasitusogelee Huu mchezo wa mapenzi tunatanata Swadakta, manyota wa danta Perfect combo na so garata ...
Alicios feat. Juliana Kanyomozi - Mpita Njia Lyrics ...
Yule bwana mimi naye tuna hadithi Naye hucheza ule mchezo wa pata potea, (do you remember) Mimi na wewe ni marafiki toka zamani Siwezi kukudanganya Nia yangu kukulinda Tokana na mwizi (Wachana na mwizi) Mwizi wa mapenzi Mpita njia x2 Asante yake mateke Kwako hatakaa milele Kesho atapata mwingine akuage alivyo niaga Pilipili, usiyoila yakuwashia nini?
Tshala Muana - Karibou Yangu Lyrics
Na ku liliya unite Uni peleke kwa mama Ata tupatiya mali Tu unge oh, ndowa ya lote Mupenzi oh, mimi na wewe Ndowa oh, ndowa ya lote Karibu oh, Karibu yangu C'est ca, c'est ca Usi ni teseye moyoni Na omba oh, usi ni tese Uni peleke kwa baba Ata tupatiya mali Tu unge oh, ndowa ya lote Mapenzi oh, mimi na wewe Ndowa oh, ndowa ya lote Karibu oh, Karibu yangu Uni urumiye, urumiye Na ku liliya unite ...
Christina Shusho - Ushiriki Na Roho Lyrics
Roho (repeat) Nimekubali habari hizi, ya kuwa wewe ni Mungu roho, roho nataka ushirika nawe Ulikuwepo tokea mwanzo, ulishiriki kuniumba Nataka ushirika nawe Nakuhitaji maishani unihifadhi moyo wangu roho ee roho wee nataka ushirika nawe Wayachukua maombi watuombea kwa kuugua roho, roho nataka ushirika nawe Ukiwa nasi twatiwa, nguvu twatenda kazi kwa ujasiri roho, ee roho nataka ushirika nawe ...
Erick Smith - Patakatifu Lyrics
Yesu husiponisaidia nani mwingine? Halleluyah (Lord if you don't help me who else will? Halleluyah) Patakatifu pako, ndipo nahitaji, (In your holy place is where i wanna Be) Mahali pa maaana, juu ya yote, (The greatest place above all) Katika mikono yako mimi najiweka, (In your hands i place myself) Nizungukwe mimi na uwepo wako (So that i can be sorrounded by your Presence) Niambie utakalo ...
Juliana Kanyomozi feat. Bushoke - Usiende Lyrics
Mapenzi kupendana sii mchezo Nakusihi usijeniacha mimi Solemba Najisihi na mimi nisije kuacha wewe solemba Tunavyo ishi wanandhani tunadanganyana Sii rahisi amini mimi na wewe tukatengana Usiende mbali nami Kwani bado nakupenda Usiondoke mbali nami Mimi bado nakupenda Tangu niko na wewe ni furaha Kukosa hata saa nikaraha Bila wewe siwezi ishi Kwako mimi sio mbishi Wanapiga misele kila mara ...
Dan Em - Kama Sio Wewe Lyrics
Kama sio wewe, ningekuwa wapi mimi (kama sio wewe) Kama sio wewe, ningekuwa wapi mimi (ooh) Umejawa na rehema (umejawa) na neema tele (Yesu weee)Umejawa na rehema na neema tele. Shetani alinionea, Yesu ukanitafuta. Ukaniokowa wewe kwa rehema na neema. Ukaniregesha kwako, ukaniita mwanao. Kwa rehema zako na neema, mimi nimesamehewa.
Vanessa Mdee x Jux - Juu translation in English
ni mimi na wewe tu.. Forever me and you you you you you. milele mimi na wewe. Everything we do do do do do. kila tunachofanya..... You are my babe boo boo boo boo boo. we ni wangu... Its just me and you you you you you. ni mimi na wewe tu.. Have been thinking about you you you you. nakuwaza wewe tu.
TRINITY (NL) - NOWHERE WITHOUT YOU (FEAT. NEEMA NTALEL) LYRICS
Mimi na wewe milele mpenzi wangu hatutawachana Mimi na wewe milele mpenzi wangu hatutawachana Mimi na we oh mpenzi wangu hatutawachana Mimi na wewee milele hatutawacha I'm far away but you are in my dreams tonight Free roaming, deep within my sleep My darling, precious deep true friend of mine It's you I long to see Cause I belong to you (Mimi ...
Nameless feat. Amani - Ninanoki Lyrics
Mimi na wewe Mimi na wewe Nameless na wewe Mimi na wewe Mimi na wewe Mimi na wewe Aiyaa ohh Aiyaa ohh Aiyaa ohh Aiyaa ohh Aiyaa ohh It's a Friday night, everything's alright Eeh nyinyi mabeste, twende tukatike If you like to dance, well then here's your chance Sisi wa Nairobi, tunapenda hepi It is in your eye, Ohh you can't deny Eii mumefurahi, wacha kujidai Hey you over there, hey you look ...
Julianna Kanyamozi - Usiende Mbali Lyrics
Mimi bado nakupenda Verse 2 Tangu niko na wewe ni furaha Kukosa hata saa nikaraha Bila wewe siwezi ishi Kwako mimi sio mbishi Wanapiga misele kila mara Wanatimua mavumbi sisi twala Wanataka mapinduzi na mapinduzi. hawayawezi ooh ooh Maumivu ya mapenzi naogopa sanaa Hata wivu ni noa kwani sina roho
Dan Em - Twende Kwa Yesu Lyrics
Njoo tuende kwake Bwana Yesu Twendeni Tukamueleze shida zetu zote yeye anaweza yote Matatizo yetu; tukampe yeye tukampe yeye atatufariji Matatizo yetu; tukampe yeye tukampe yeye atatufariji Yeye mwenyewe alisema Njooni kwangu nyinyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo na Mimi nitawapumzisha Nakualika, nakualika nawe ndugu yangu Njoo twende kwake Bwana Yesu Twendeni Tukamueleze shida zetu ...
Nandy - Nikumbushe Lyrics
Ouoh ooh Yakwamba kama ungeniacha hatua moja Nisingelifika nilipo ooh eee Babaa Umenikung'uta mavumbi, kung'uta Mavumbi mimi na kuniheshimisha. Nikumbushe wema wako nisije laumu Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi, Nikumbushe ...
Dr Jose Chameleone - Badilisha Lyrics
Simbilimbili mamba ma eee I got to go badilisha i let u go I got to go badilisha Unaniumiza sana ninateseka Ndani moyoni mimi naumwa I got to go kan'gendee I let you go sitaweezaaa Nimevumilia sana hutaki change Naona umeshindwa kubadilisha I got to go kankupewee I let you go mukwano nunyaaa ×2 Pete yaharusi ninayo kidoleni Nilikupenda mababy sorry Utampata mwingine dont worry ha haaaaa ...
Mireille Basirwa - Tunashuka Lyrics
Tunashukaaa uinuliwe Wewe Ni Muumbaji sisi Ni viumbe Wewe Ni mwenye nguvu sisi Ni wabovu Hatuna cha kuonyesha tu kazi ya mikono yako Hatuna cha kujivunia tu watu mbele zako (Kwa hiyo) Twangojea (Baba twangojea) uonekane (pekee yako uonekane) Twangojea (Yesu twangojea) uonekane (Hatuna cha kuonyesha)twangojea (Yote tunayo tumepata kwako) uonekane (Yote tuliyo Ni kazi yako) twangojeaaa (Baba ...
Avril Nyambura Song Lyrics
View Avril Nyambura song lyrics by popularity along with songs featured in, albums, videos and song meanings. We have 0 albums and 4 song lyrics in our database.
Marlaw - Rita Lyrics
Na taarifa ikaja kwako wewe Rita, Uende Arusha nduguzo wanakwita, Ukani-kiss kiss mimi na mtoto, nikakukiss hey hey Ni tangu Arusha hadi Iringa simu inaita napokea unalia, Kurudi Iringa uishi nami ndugu zako wamekuzuia Ukasema laiti ungejua usingekubali uondokee pekee, Mwanao analia, ona mumeo ni bora ninywe pombe.
Ben Pol - Number One Fan Lyrics
My number one fan, tatizo ni wewe umefanya anitose Wakati bado nampenda nafsi imejawa upendo wake x 2 Sikujua dhamira iliyokufanya we uwe karibu nami Nafsi inanisuuta kwa kumkwaza hana hata raha moyoni Alidai anaenda ili atuache mimi na wee Na mi sitaki kupoteza penzi lake nifanyejee You just my number one fan She is the one and I love her She is everything in ma life My dreams depend on her x ...
Lady Jaydee - Siri Yangu Lyrics
Nakuambia aa siri yangu Kwa kuwa wewe ni wangu tena mshikaji siku nyingi, Nakueleza aa siri yangu inayohusu Maisha yangu inayosumbua moyo wangu. ... moyo wanituma wanambia kuwa na subira Mimi nasema sitoimba tena nalia Iliyobaki nikusema nimekubali sitoka tena kulia mimi na mawazo wo wo wo Nakuambia aa siri yangu Kwa kuwa wewe ni wangu tena ...
Wyre - Sina Makosa Lyrics
hasira za nini wee bwana hasira za nini wee bwana wataka kuniua bure baba wataka kuniua bure baba yule si wako nami si wangu chuki ya nini kati yangu mimi na wewe ...
GLORIA MULIRO & WILLY PAUL - SITOLIA LYRICS
Iye sitolia mimi, Nafahamu upo na mimi maulana (I won't cry, God you are with me) Ni kweli usilie mwenzio, Maulana yuko na wewe akujali (Don't cry, God cares for you) Kiganjani mwake amekuweka, hautabanduka (He has kept you in His palm, you won't fall) Ni kweli uko mbali na mimi, Uko mbali na uga wangu (Though you are far from mr)
Habida - My Reason Lyrics
mimi na wewe together for all these seasons mimi na wewe your love will be my prison. 1 (Habida) hello baby I just wanna tell you how I feel siogopi tena mapenzi that's for real I feel so good I don't have to guess about love no more the way you trust me the way you see me the way you feel me pia baby nakufeel
Matonya - Anita Lyrics
Kwamba mimi na wewe Maisha milele mpaka nafukiwa chini Ni mawazo yanautesa moyo wangu Anita nielewe iyee Natamani uyajue ili unilinde mimi Sijajua uliwaza nini Anita kuwa mbali na mie iyee Hata hilo nilijue ili nisaishwe mimi Kama ni maradhi, mimi ndio wako dakitari Unambie mapema ili dawa yake niijue
Gloria Muliro & Willy Paul - Sitolia Lyrics
Amekuwa akinihanda, amekuwa akinitesa mimi (I was followed and) Sababu mimi (?), na sina hela (Because I'm in debt(?) and poor) Miye fukara, just imagine (I am destitute) Bado nafsi yangu, ni kwako wewe (But my soul is in you) Kuokoka kwangu, ni kwako wewe (My salvation is in you) Ni kwako, ni kwako; Ni kwako, ni wewe (It is in you) Oh Sitolia mimi, Nafahamu uko na mimi jalali (I won't cry, I ...
Gloria O. Muliro - Sitolia Lyrics
Amekuwa akinihanda, amekuwa akinitesa mimi (I was followed and) Sababu mimi (?), na sina hela (Because I'm in debt(?) and poor) Miye fukara, just imagine (I am destitute) Bado nafsi yangu, ni kwako wewe (But my soul is in you) Kuokoka kwangu, ni kwako wewe (My salvation is in you) Ni kwako, ni kwako; Ni kwako, ni wewe (It is in you) Oh Sitolia mimi, Nafahamu uko na mimi jalali (I won't cry, I ...
Otile Brown feat. Khaligraph Jones - Imaginary Love Lyrics ...
nakupenda hata zaidii ya navyojipenda mwenzio na hayo maisha hayana thamani zaid yako ninakuhitaji zaidi ya chochote kile ninachokikosa na nitapoteza kidogo nilichojaaliwa nikifika nakukosa aah ninakupenda we wajua ah niteketea kwa ajiri ya dhambi zako ila nisilojua ni kama nitakuwa nimekuokoa na wewe ni mimi na mimi ni wewe mi nawe kitu kimoja ah ukilia nami nitalia uchungu wako niuhisia hata ...
Daddy Owen feat. Danny Gift - Kazi Ya Msalaba Lyrics ...
Baraka nimepokea, kwako nimetulia mimi Nisije tumbukia kwa mambo ya dunia Kwako nijifiche milele Fitina zanizingira, anasa kila kona Kwa mikono yako, niweke mtakatifu Tokea leo hadi milele Niwie radhi mimi, kwa makosa yote Anipenda, anijali, anipenda (Repeat) Kazi ya msalaba, Nimeipokea, nimekubali Nitakusifu, nitakuimbia milele (Repeat) Ilikuwa ni juzi tu, mwanzo kwangu katembea Ukapumzisha ...
Diamond - Mbagala Lyrics
Busara na upole Na hekima niliyorithi kutoka kwa mama yangu, Mama Vyote hukuvijali, huk'ona silingani kabisa kuwa na wewe. Kwa kuti na mkole, ukakata kabisa na shina la penzi langu mama Eti kisa maali, ukaona bora uniache mimi na uolewe Ile siku shekhe namuona anachoma ubani Unavishwa pete unakua mke wa fulani N'liumia sanaa, sanaa Ile siku ...
Ali Kiba - Cinderella Lyrics
2fois (owa! uh! uh! uh! uh! uh! uh! uh! yahe! yahe) mara ya mwicho mimi na wewe ku onana kipindi kile twosoma chule ya mzingi kigoma yahe! yahe najuwa uli nipenda ila hauku taka penzi ku lilinda ugesema mapema ili niuma sana (mimi leo niko dar aliye nipenda nilicha mu howa je wataka kumujuwa jina ahitwa cinderella) rudi home wewe rudi nyumbani wa salimiye kigoma wambiye nicha howa uli nitesa ...
Found 35 lyrics.

Recent lyrics

whats
og
mltl