Umenitoa mbali sana lyrics

Get lyrics of Umenitoa mbali sana song you love. List contains Umenitoa mbali sana song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Get hot Umenitoa Mbali Sana lyrics at Lyrics.camp!
Paul Mwai - Nitatangaza Lyrics
You will get 3 free months if you haven't already used an Apple Music free trial. Redeem your gift
Solomon Mukubwa - Mungu Mwenye Nguvu Lyrics
(Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele) Uko mwema, Bwana, matendo yako ni ya ajabu sana aaaaa Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo baba Nikikosewa na maisha, wanipa tumaini la kupata maisha Baba Wajapo nicheka majirani wangu Wewe upo upande wangu, Uhimidiwe Yahweh Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi ...
Paul Mwai - Sitafa Moyo Lyrics
Tulipo ianza safari,tulikuwa wengi sana Wengine wamepoteza imani yao,na kurudi nyuma wakafa moyo Lakini kwa neema na fadhili zako,Ebenezer umeniwezesha Sitafa moyo Mi najua,wewe uliniita Umwaminifu,Kazi ulioanza Maishani mwangu,nakuamini utaimaliza Umenitoa,mbali sana Na safari yangu,ni ndefu sana Milima na mabonde,nimepanda umbali umenileta ...
Angela Chibalonza - Ebenezer Lyrics
natambua kwamba wewe n ebenneza. sio kwa uwezo Wangu ila n kwa uwezo wako Mahali nimefika baba acha nikushukuru. ebwana umenisaidia nifike mahali nimefika bwana wewe ni ebeneza maishani mwangu ninataka ebeneza nijenge juu yako ninataka ebeneza uwe msingi wangu jiwe langu la pembeni nakutamani sana jiwe langu la thamani nakuhitaji sana oooh ebeneza jiwe langu mimi nataka maisha yangu yajengwe ...
Found 4 lyrics.

Recent lyrics

gracz
6 8 12
siakol
olan