Upewe sifa zako ewe bwana mungu wangu lyrics

Get lyrics of Upewe sifa zako ewe bwana mungu wangu song you love. List contains Upewe sifa zako ewe bwana mungu wangu song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Florence N. Mureithi - Wewe Ni Mungu Lyrics
(Vizazi hadi Vizazi, Vya kufahamu wewe Uliye mungu wa kale na uliye mungu wa leo Kazi zako zaonyesha ukuu wako wewe Umetukuka umeinuliwa ewe bwana)x2 Kweli wewe wewe ni mungu Kweli wewe wastahili Umeketi juu sana, kwenye kiti cha enzi Umejivika utukufu, wewe ni mungu (Nikitazama matendo yako na nguvu zako wewe Yadhihirika machoni mwangu wengine wote ni miungu Uumbaji wako waonyesha hekima yako ...
Reuben Kigame - Pokea Sifa Lyrics
Jina lako litukuzwe Bwana pokea sifa -oh Baba yetu! twaja kwako tukiungana na maumbile yote uliofanya kwa mkono wako sisi kitu gani hata utujali Tunasema ewe pekee pokea sifa zako (utukufu wote ni kwako oh!) Bwana pokea sifa (sifa zote zako milele) Bwana pokea sifa (ooooh) pokea sifa (Mungu wetu) Bwana pokea sifa (Jina lako) Jina lako litukuzwe ...
Found 2 lyrics.

Recent lyrics

blonde