Yesu ni mwokozi lyrics

Get lyrics of Yesu ni mwokozi song you love. List contains Yesu ni mwokozi song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Get hot Yesu Ni Mwokozi lyrics at Lyrics.camp!
Sauti Sol feat. Aaron Rimbui - Kuliko Jana Lyrics
Baraka zake hazikwishi Si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko jana Kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko jana Kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Nakuomba Mungu uwasamehe Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema Na maadui wangu nawaombea maisha marefu Wazidi kuona ukinibariki Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo ...
Sauti Sol - Kuliko Jana Lyrics
Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana Walimsulubisha Yesu Masia bila kusita Na Bwana ni mwokozi wangu Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi Si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko jana, kuliko jana Yesu nipende ...
Sauti Sol feat. RedFourth Chorus - Kuliko Jana translation ...
English translation of lyrics for Kuliko Jana by Sauti Sol feat. RedFourth Chorus. Bwana ni mwokozi wangu Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazik...
Sauti Sol - Kuliko Jana Lyrics
Ujue binadamu ni waajabu sana Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika Ujue binadamu ni waajabu sana Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita. Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko Jana Kuliko Jana Yesu nipende leo kuliko ...
Sauti Sol feat. RedFourth Chorus - Kuliko Jana Lyrics ...
Baraka zake hazikwishi Si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko jana Kuliko jana Yesu nipende Leo kuliko jana Kuliko jana Kuliko jana Yesu nipende Leo kuliko jana Si nakuomba Mungu, uwasamehe Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema Na maadui wangu, ninawaombea Maisha marefu wazidi kukuona ukinibariki Ujue binadamu, ni watu wa ajabu sana Walimkana yesu mara tatu ...
Doudou Manengu - Nina Haja Nawe Lyrics
Nina haja nawe; Kaa nami, Na maonjo haya, Hayaumi. Yesu, nakuhitaji, Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia. Yesu, nakuhitaji, Vivyo kila saa!
Kidum - Number Moja Lyrics
Nafasi yote moyoni Nimeshaipa kwa yesu Ni namba moja, moja moja moja nafasi yote moyoni nimeshaipa kwa yesu ni namba moja moja moja moja Nimeshatembea nimeshazunguka kila pahali nikifika kila kona nimejaribu kutafuta kinachoweza kuridhisha moyo wangu nikatangatanga mashariki na kusini ili mradi nitafute nikamanga manga magharibi kaskazini kupata kile ninachotaka... wimbo nafasi yote moyoni ...
Fanuel Sedekia - Unaweza Mwokozi Lyrics
Lyrics for Unaweza Mwokozi by Fanuel Sedekia. Type song title, artist or lyrics. Top lyrics Community ... Jina La Yesu Jan 28th 2016. 01. Jina La Yesu. 02. Upendo Wa Yesu. 03. Tumekuja Nyumbani. 04. Ni Nani Kama Weuwe. 05. Unastahili Kuabudiwa. 06. Ni Wewe Bwana. See more. Exclusive offer. Get up to 3 months of free music. You will get 3 free ...
Reuben Kigame - Yesu Kwetu Ni Rafiki Lyrics
Lyrics for Yesu Kwetu Ni Rafiki by Reuben Kigame. Yesu kwetu ni Rafiki, Huambiwa haja pia; Tukiomba kwa Babaye Maombi asikia; Lakini twajik...
Sauti Sol feat. Aaron Rimbui - Kuliko Jana translation in ...
French translation of lyrics for Kuliko Jana by Sauti Sol feat. Aaron Rimbui. Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazi...
Doudou Manengu - Chakutumaini Lyrics
Lyrics for Chakutumaini by Doudou Manengu. Chakutumaini sina Ila damu yake Yesu Sina wema wa kutosha Dhambi zangu huziosha Kwake Yesu nasimama Ndiye mwamba ni salama Njia yangu iwe ndefu Yeye hunipa wokovu Mawimbi yamikipiga nguvu zake ndizo nanga Kwake Yesu nasimama Ndiye mwamba ni salama Damu yake na sadaka Nategemea daima Yote chini yakiisha Mwokozi atanitosha Kwake Yesu nasimama Ndiye ...
Ambassadors Of Christ Choir - Jamani Tutamwona Lyrics ...
aah, wakisema haleluya kwa sauti kubwaaa,,, Parapanda,,,, italiiaaah Wafu wote watafufuliwa, Nasi tutakwenda sote kumlaki bwana yesu uu Tupelekwe Mara moja mbinguni kwa baba, Furaha sio furaha, Siku ya ukombizi ii Kila mtu atamuona uso kwa uso bwana, Viwete watatembea na vipofu wataona aa, Viziwi watasikia, wafu wafufuliwe.
Emachichi - Amenisamehe Lyrics
Lyrics for Amenisamehe by Emachichi. Amenisamehe (amenisamehe) ×2 Katika jina lake Yesu, amenisamehe ×2 Amenibariki, amenibariki Amenibariki jamani, amenibariki Katika jina lake Yesu, amenibariki ×2 Ameniokoa, ameniokoa ×2 Katika jina lake Yesu, ameniokoa ×2 Amenifariji, amenifariji Amenifariji jamani, amenifariji Katika jina lake Yesu, amenifariji ×2 Anipa amani, anipa amani ×2 Katika ...
Reuben Kigame - Si Njia Rahisi Lyrics
Si njia rahisi Ya kwenda mbinguni Miiba mingi safarini Ooh! uooh! Si njia rahisi Lakini ninaye Mwokozi aliyenifia Woh! uoh! uoh! uoh! yeh! Laaa La si njia rahisi La la, La la si njia rahisi Kutembea na yesu Kuongoza safari Mazito huyalahisisha Si njia rahisi Mashaka ni mengi Mapigo nayo majaribu Vikwazo viko tele Lakini najua mwokozi yu pamoja nami Oooh! oooh La la Si njia rahisi Kutembea na ...
Reuben Kigame - Salama Rohoni Lyrics
Salama, Salama, Rohoni, Rohoni, Ni salama rohoni mwangu. Ingawa Shetani atanitesa, Nitajipa moyo kwani; Kristo ameona unyonge wangu, Amekufa kwa roho yangu. Dhambi zangu zote, wala si nusu, Zimewekwa Msalabani; Wala sichukui laana yake, Ni salama rohoni mwangu.
Pillars of Faith - Nyundo Lyrics
Nilikua kwenye halaiki Yesu alipokufa. Nikamuona alivyonililia, mwokozi wangu Nikaliona taji la miba, na vijito vya damu yake. Huyu ndiye tabibu wetu, sasa mmemfanyia nini Nikajitosa miguuni na kwa hasira nikaita. Ni nani kamtundika hapo juu, mtoto wa amani? Ni nani kamtundika hapo juu? Jitokeze unikabili Ni nani kamtundika hapo juu?
Ev. Mwakitalu - Hapana Rafiki Kama Yesu Lyrics
Yeye anaye sifa ni yesu Yu pekee, Yu pekee Ndiye aliye mnyenyekevu Yu pekee, Yu pekee. Yesu pamoja nasi daima, Yu pekee, Yu pekee Kwa usiku aleta salama Yu pekee, Yu pekee. Kulinda, Yesu yu mwaminifu Yu pekee, Yu pekee, Atawakubali wahalifu Yu pekee, Yu pekee. Alipelekwa awe mwokozi, Yu pekee, Yu pekee Anatutayarishia enzi, Yu pekee, Yu pekee.
EUNIA SIMBAGOYE - SIFA LYRICS
Sifa sifa sifaNa utukufu ni vyakoSifa sifa sifaNa utukufu ni vyakoBwana ni mwokozi wanguBwana ni nulu yanguBwana Jehova jileMimi ninakupendaSifa sifa sifaNa utukufu ni vyakoSifa sifa sifaNa utukufu ni vyakoMimi ninakumbukaUpendo wako wa ajabu ...
Git - Yesu Nakupenda Lyrics
Lyrics for Yesu Nakupenda by Git. ... dhambi zangu ulichukuaaaa kufika kalvari bwana ulizituaaaaa nami nimewekwa huru ninakwimbiaaa nikufananishe na nani mwokozi wangu (babaaaa) naona fahari mm ninapo kuimbia (babaa) na ninani asimaaame badala yakooo hakuna mwingine ni ww peko2 yesu weee nakupenda bwana yesu nakupenda yesu wee nakupenda bwana ...
Pst Alex feat. Mary Atieno Ominde - Hakuna Mungu Mwingine ...
Hakuna Mungu mwingine aliye kama Wewe, Hakuna Mungu mwingine aliye kama Wewe. Wewe ni Baba wa yatima, Wewe ni Mungu wa wajane Hakuna Mungu mwingine aliye kama wewe Wewe ni mwanzo tena mwisho, Wewe ni Mungu wa ajabu Hakuna Mungu mwingine aliye kama Wewe
Eunice Njeri - Bwana Yesu Lyrics
Bwana Yesu Bwana Yesu Kimbilio langu ni wewe baba Tumaini langu liko kwako Yahweh Mimi sin... Lyrics for Bwana Yesu by Eunice Njeri. ... baba yangu Msaada wangu wa Karibu Wewe ndiwe baba yangu Msaada wangu wa Karibu Hallelujah hallelujah baba Ulinifia mwokozi wangu Dhambi zangu zote ukaziosha Sijapata mwingine Dunia yote kama wewe Yahweh ...
Evelyn Wanjiru - Waweza Lyrics
Waweza waweza Waweza mwokozi Waweza mambo yote Wewe mwaminifu Waweza waweza Waweza mwokozi Waweza mambo yote Wewe mwaminifu Bwana mungu wangu eee Wewe ulimsaidia ayubu Alipokuwa na shida nyingi Bwana ulikuwa naye Neno lako linasema Unazo Fedha eeeeee Zote ni zako bwana Wewe ni muweza Waweza waweza Waweza mwokozi Waweza mambo yote Wewe mwaminifu ...
ROSE MUHANDO - NIBEBE LYRICS
Rose Muhando - Nibebe Lyrics. Swahili (English translation) Nibebe nibebe nibebe nibebe (Carry me, carry me, carry me, carry me) Nibembeleze nibebe (Comfort me, carry me) ... Kweli nimeamini adui wa kwanza ni yule wa nyumbani mwako (Its true I have believed that the biggest enemy is the one closest to you) ... Nakwita Yesu unibebe mwokozi (I ...
Pst. Faustin S. Munishi - Malebo Lyrics
Lyrics for Malebo by Pst. Faustin S. Munishi. Nina huzuni rohoni, mimi siimbi nalia namlilia Malebo amekataa kuokoka nilizoimba ni nying...
Ambassadors Of Christ Choir - Parapanda Ya Bwana Lyrics ...
Lyrics for Parapanda Ya Bwana by Ambassadors Of Christ Choir. Parapanda ya bwana ikaribu Parapanda karibu kusikika Wazima wote wote watasikia, na waliok...
Rose Muhando - Nibebe Lyrics
Swahili (English translation) Nibebe nibebe nibebe nibebe (Carry me, carry me, carry me, carry me) Nibembeleze nibebe (Comfort me, carry me) Nichukue unibebe (Take me, carry me) Mikononi mwako niwe salama (In your arms so I will be safe) E mungu angalia kunena kwangu,(O God hear the words of my mouth) Na usikie sauti ya kilio changu (And listen to the sound of my cry) Moyo wangu umechoka sana ...
RECAPP FEAT. RIGGA - FIVE STONES LYRICS
Wewe ni Bwana wa mabwana Wacha nikuite Hosanna Wewe ni Bwana wa mabwana Wacha nikuite Hosanna (Saint P wih that beat) Bila we, bila, bila we Mimi siwezi, bila, bila we Kama we, niwe kama we, kama we Yesu Mwokozi, nani kama we If it wasn't for you Where would I be if it wasn't for you, and Where would I go If it wasn't by your grace
Upendo Nkone - Unitetee Lyrics
Lyrics for Unitetee by Upendo Nkone. Unitetee, unitetee, Bila wewe siwezi unitetee (Defend me, defend me, without you I cannot ...
CHRISTINA SHUSHO - THAMANI YA WOKOVU LYRICS
The price of my salvationThe one who knows it, is my saviorPlease listenLet me tell youThe story about a young manA very handsome young manGentle, loved by manyHe has many characteristiciesBut vital one is loveOne day he met a Samaritan woman at the well
Eunice Njeri - Matunda Lyrics
kisima kisicho nyauka bwana ninyue kwako nikiimba yesu utukufu ukurudie wewe nikisali bwana maombi yangu yasikie majira yakija yesu ni zae matunda sikia ombi langu leo naomba Nizae matunda kwa majira yake nisinyakue litendalo lifanikiwe Nizae matunda kwa majira yake nisinyakue litendalo lifanikiwe ulisema nikikaa ndani yako na neno lako ndani yangu chochote nitakacho kwako baba utanipa ishara ...
Christina Shusho - Pendo La Mungu Lyrics
Naona pendo Kubwa mno latoka kwa Mwokozi wangu Niteleka na maji mengi yatembeayo baharini Lanitolea tumaini Ya kwamba nitatiwa nguvu Na niwe mhodari Kwa pendo kubwa la Mwokozi Lanitolea tumaini Ya kwamba nitatiwa nguvu Na niwe mhodari tena Kwa pendo kubwa la Mwokozi Hallelujah Ni pendo kubwa Linalotoka moyo wako Ee Mungu wangu nakuomba Nijaze pendo lako tele Hallelujah Ni pendo kubwa ...
Ambassadors Of Christ Choir - Kwetu Pazuri Lyrics
1 Ninayo hamu kurudi nyumbani Nyumbani kwetu ambako hatutatengana hapo nyumbani kwetu hakuna makaburi Wala hakuna vyandarua maana hakuna maralia Kwetu pazur ni pazur nakuapia Najua nawe ndugu yangu unayo hamu kufika huko () kwetu pazuri nimeshapakumbuka Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu Kwa amani na furaha tena ya ajabu Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni*2 2 Hii dunia imejaa shida ...
Mercylinah - Washukuru Lyrics
Baba, Nashukuru. Kilio changu ewe yesu kabadilisha kuwa furaha. Baba, nashukuru. Kwa moyo wangu wote. Nasema asante kwako Messiah Nashukuru Nilipokuwa mnyonge baba umekua nguvu yangu. Babaa, Nashukuru Nayo mishale ya yule mwovu hayajanipata umenilinda Babaaa, Nashukuru Umeniongoza mwokozi wangu kanisimamisha imara.
Reuben Kigame - Bwana Nipandishe Lyrics
Yesu Kwetu Ni Rafiki. 02. Amani Moyoni. 03. Huniongoza Mwokozi. 04. Bwana Mungu Nashangaa. 05. Mikononi Mwa Yesu. 06. Majina Yatakapoitwa. See more. Exclusive offer. Get up to 3 months of free music. You will get 3 free months if you haven't already used an Apple Music free trial. Redeem your gift.
Pillars of Faith - Najivunia Yesu Lyrics
Lyrics for Najivunia Yesu by Pillars of Faith. Najivunia Yesu Bwana wangu kwa kunipa uwezo mwingi, kufa msalabani kwa ajili yangu najivun...
Found 35 lyrics.

Recent lyrics

tapay
binibi
ni ma