Are you an artist? Make the most of your lyrics with Musixmatch Pro!
Translations (1)
Share
Verified by Community
1 contributions
about 2 years ago
Translations
English

Lyrics of Natamani by Bahati Bukuku

Zaaamani uliwatumia mitume
Zaaamani uliwatumia manabii
Zaaamani uliwatumia wafalme
Zaaamani uliwatumia manabii
Na mimi leo niko hapa Jehova
Naa mimi leo niko hapa masiah
Natamani niwe ikulu yako bwana
Moyo wangu uwe ikulu ya hoho yesu
Natamani niwe ikulu yako yesu
Kinywa changu kibebe sifa zako yesu
Ili unaposhuka yesu
Ushukie kwangu
Majibu ya kizazi hiki yatoke kinywani mwangu
Ili unaposhuka yesu
Ushukie kwangu
Majibu ya kizazi hiki yatoke kinywani mwangu
Zaaamani uliwatumia kina petro
Zaaamani uliwatumia Elisha
Zaaamani uliwatumia wafalme
Na mimi leo niko hapa jehova
Shuka baba nikuone tuu
Shuka baba nikuone tuu
Katika huduma yangu
Nikuonee tu
Ukiponya wagonjwa nikuonee tuu
Nitumie jehova mwanadamu tuu
Natamani niwe ikulu yako bwana
Moyo wangu uwe ikulu ya hoho yesu
Natamani niwe ikulu yako yesu
Kinywa changu kibebe sifa zako yesu
Dunia haina majibu ya watu
Dunia haina majibu ya watu
Kanisa lako tupe majibu yao
Kanisa lako nipe majibu ya watu
Dunia imepoteza mwelekeo
Kanisa lako nipe majibu yao
Tutumie jehova
Tutumie jehova
Injili waliohubiri akina petro
Injili waliohubiri akina elisha
Kama mifupa ya elisha
Iliweza kufufua mfu masiah
Kama kivuli cha petro
Kiliweza kuponya wagonjwa
Kwa sauti ulionipa
Wenye shida wafunguliwe
Kwa sauti ulionipa
Naomba viwete watembee
Kwa sauti ulionipa
Naomba wagumba wapate watoto
Natamani niwe ikulu yako bwana
Moyo wangu uwe ikulu ya hoho yesu
Natamani niwe ikulu yako yesu
Kinywa changu kibebe sifa zako yesu
Injili ya mitume ilifu wafu
Injili ya akina eliya ulionekana
Na sisi baba
Tutumie jehova
Katika kizazi hiki
Tutumie jehova
Kama vivuli vya mitume
Viliweza kuponya wagonjwa
Kama sauti ya eliya
Alivyotabiri mifupa mikavu
Vikawa jeshi kubwa
Natamani niwe ikulu yako bwana
Moyo wangu uwe ikulu ya hoho yesu
Natamani niwe ikulu yako yesu
Kinywa changu kibebe sifa zako yesu
Uuuuuuuuu
Uuuuuuuuu
Uuuuuuuuu
Writer(s): Kelvin Kioko Bahati

Contribute

To-do

Structure Tag
Identify the song's sections

Completed

Lyrics
Verified by Community
Performers Tag
Identify who's singing what

Credits

This song has no credits yet

Contributions

Last edit about 2 years ago
Are you an artist? Distribute your lyrics!
Take full control of your lyrics. Curate, sync, and distribute your lyrics on Spotify, Apple Music, and more.
Explore Musixmatch Pro