Nani kama wewe nakuinua mungu wangu leo nani kama wewe nakupenda
Nani kama wewe nakuinua mungu wangu leo
Nani kama wewe nakupenda)2
Miguuni pako, nakuinamia bwana heshima na utukufu baba nakupa yesu...
Nmekuja nkuinue nmekuja nkupende miguuni pako nakupenda
Enzini pako nakuinamia bwana, enzini paako nainua mikono enzini pako nakuabudu bwana enzini pako pokea utukufu... Nasema
Baba hakuna mwingine tena mwnye enzi na utukufu kama wewe be