Aaaaah aaaah aaaaah aaaah
Aaaaah aaaah aaaaah aaaah
Aaaaah aaaah aaaaah aaaah
Kama imeshindikana kunirudia isiwe taabu
Usiuforce moyo kupenda usipostahili
Ya nini kung′ang'ania nishachoka kuwekwa sub
Siwezi ooh na mapenzi nishaghaili
Vinumbi kengere kwa sherehe
Kinaghaubagha mbele ya umati tuachane
Waumini mapadre na masheikh
Yaishe labda sa kwa nini tutesane
Ila unanipa ghadhabu jina
Usinipe chongo miee Bridge
Mwili umebaki kongoro nyama sina ni mifupa
Naiona domboro kabisa siwezi furukuta
Penzi kiporo limeshachina linanuka
Kuishi kokoro purukushani kutwa kucha iyeeh Chorus
Bora tuachane bora tuachane siwezi
Bora tuachane yamenishinda mapenzi
Mi naona bora tuachane eeh tuachane siwezi
Bora tuachane yamenishinda mapenzi Chorus
Ni dhahiri kisima kimekauka maji
Ndo maana naona ata sina maana tena
Nilifikiri mi gonjwa langu limepata mponyaji
Umeniongezea homa mwili wote watetema
Mi naona basi labda si ridhiki yangu
Kama hunitaki acha tu niende zangu
Ya nini mishikaki ntatafuta boda yangu
Nijinafasi niipande peke yangu Bridge
Mwili umebaki kongoro nyama sina ni mifupa
Naiona domboro kabisa siwezi furukuta
Penzi kiporo limeshachina linanuka
Kuishi kokoro purukushani kutwa kucha iyeeh Chorus
Bora tuachane bora tuachane siwezi
Bora tuachane yamenishinda mapenzi
Mi naona bora tuachane eeh tuachane siwezi
Bora tuachane yamenishinda mapenzi Wasafi