Nakuthamini kama dola (dolaa)
Wala usije nichora (choraa)
(Kora kora kora kora koraaa)
Chochote unachotaka we agizaa
You′re my baby can't denay
You got my spirit to rise and pop (murder)
She like rot and I like like her like popey (murder)
You got my spirit to rise and pop (murder)
She like rot and I like like her like popey (murder)
Itakua ni lini au sangapi (lini sangapiii)
Na atakua ni mzawa wa wapii
(What is love what is love what is love)
When you wanna fall in love with somebody (Eee eee eee)
When you wanna get along with somebody(Yooup!)
Atokee kwa bibi amfunde vikali
Akipose maujanja baby (yeap! yeap! yeap! yeap!)
(Ujanja ujanja ujanja, ujanja ujanja)
(Mganga mganga mganga, mganga mganga)
Nimejawa na malover lover
Nitalinda na kulea lea lea lea lea lea leeeeeee
Itakua ni lini au sangapi (lini sangapiii)
Na atakua ni mzawa wa wapii
(What is love what is love what is love)
When you wanna fall in love with somebody (Eee eee eee)
When you wanna get along with somebody(Eyaaa!)
Kuna siri kubwa juu yako na mimi
Kukupata paka kuwa wangu my queen
Niki kuudhi mamii tulia na mimi
Ya ndani tuyamalize chinichini
Siwajua mwanzo wako we na mimi
Kukupata paka kunijibu ndio
Niki kuudhi mamii tulia na mimi
Ya ndani tuyamalize chinichini
Nikitaka ile kitu baby wangu come now now
Gime some more baby now nownow
Look at my eyes baby now now now
Sexy in the morning baby now now now
Wind for me baby now now now
Don′t blame me baby dont leak it baby dont freak it baby
Itakua ni lini au sangapi (lini sangapiii)
Na atakua ni mzawa wa wapii
(What is love what is love what is love)
When you wanna fall in love with somebody (Eee eee eee)
When you wanna get along with somebody(Eyaaa!)
Itakua ni lini au sangapi (lini sangapiii)
Na atakua ni mzawa wa wapii
(What is love what is love what is love)
When you wanna fall in love with somebody (Eee eee eee)
When you wanna get along with somebody
Nakuthamini kama dola (dolaa)
Wala usije nichora (choraa)
(Kora kora kora kora koraaa)
Nakuthamini kama dola (dolaa)
Wala usije nichora (choraa)
(Kora kora kora kora koraaa)