Haki ya Mungu, Wallahi, ninakuzimia
I was shy (shy), do you remember that day, niliokutokea
Wanasema why (why), penzi lako sikatai (tai), limenikolea
Ushantoa nishai (shai), wengine hawafai (fai), nimejionea
Ah nyota haing′ai (ng'ai), bila we haing′ai (ng'ai), unaniwezea
Jamani why (why), why (why), why (why)
I feel to die (die), die (die), die (die)
Jamani why (why), why (why), why (why)
Ukinikubali sikatai, jua ni wewe in ma mind (we in ma mind)
Ukinipa sikatai, nakupenda sana you're always in ma mind (we in ma mind)
Always in ma mind, swagga zinanimaliza
Always in ma mind (always in ma mind)
Shopping twende Thai (Thai), iwe China au Dubai (bai), nitagharamia
Walosema hufai (fai), wako wapi walaghai (ghai), wangetubania
Mwanzo najidai (dai), kuwa nawe najidai (dai), nakupenda dear
Nipe nifurahi (furahi), nipe yote nifurahi, wangu malkia
Motema na ngai (ngai), we sukari mi ndo chai (chai), umenikolea
Jamani why (why), why (why), why (why)
I feel to die (die), die (die), die (die)
Jamani why (why), why (why), why (why)
Ukinikubali sikatai, jua ni wewe in ma mind (we in ma mind)
Ukinipa sikatai, nakupenda sana you′re always in ma mind (we in ma mind)