verse
Na asili yako siwezi ieleza
Mi naona wengi ila hamfanani
Wewe hauku umbwa ulitengenezwa
Kwako natua nikafanya makazi
Nao kando yako bado unajihisi
Na wengine mimi sitaki wala sijawai fikiria
verse
Nakupenda sina mfano (Sina mfano)
Zaidi ya hizo nguo uvaazo, eeh
Nyele na hata pia rangi yako
Nachohitaji penzi lako na nimeridhika
Nimeridhika, mwenzio we-eeh, oh, mwenzio we-eeh
Uzee hauja kukithiri, mpenzi we