Are you an artist? Make the most of your lyrics with Musixmatch Pro!
Add translation
Share
These Lyrics are yet to be verified
0 contributions
over 7 years ago
Translations

Lyrics of Mfalme Wa Mapenzi Album by Sanaipei Tande

Uuuui aaaa yeah yeahh malaika zangu zainuka
Kila anaponigusa pumzi nazo mi zaniishia
Kila anaponidadisia
Vile ata nipenda, vile ata niroga, vile ata niliza, vile ata (uui) vile ata nipenda, vile ataniroga, vile ataniliza vile ata ... anaponibusu (uuuui uuui)
Anaponilaza chini (iiiii iii)
Na anapo nipapasa (aaah aaai)
Ni dhahiri shahiri
Nimempata mfale wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiae mbinu zake
Nimempata mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye anifaaye
Nimempata mfale wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiae mbinu zake
Nimempata mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye anifaaye
Yuafanya kwa utaratibu
Vioja vyamaliza nguvu
Sina budi ila kumruhusu
Anipe sumu
Anaponibusu (uuuui uuui)
Anaponilaza chini (iiiii iii)
Na anapo nipapasa (aaah aaai)
Ni dhahiri shahiri
Nimempata mfale wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiae mbinu zake
Nimempata mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye
Anifaaye
Nimempata mfale wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiae mbinu zake
Nimempata mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye anifaaye
Niwie radhi
Si ati ni mara ya kwanza
Kufanya mapenzi
Lakini bila shaka
Hamna mwingine kama yeye
Nimempata mfale wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiae mbinu zake
Nimempata mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye anifaaye
Nimempata mfale wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiae mbinu zake
Nimempata mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye anifaaye
Anaponibusu (uuuui uuui)
Anaponilaza chini (iiiii iii)
Na anapo nipapasa (aaah aaai)
Ni dhahiri shahiri
Writer(s): Natasha Sanaipei Tande

Contribute

To-do

Structure Tag
Identify the song's sections

Completed

Lyrics
Lyrics in time with music
Performers Tag
Identify who's singing what

Credits

This song has no credits yet
Are you an artist? Distribute your lyrics!
Take full control of your lyrics. Curate, sync, and distribute your lyrics on Spotify, Apple Music, and more.
Explore Musixmatch Pro