Kama ni kachumbari, ooh tulikula lala
Kama ni katurungi, ooh tulikunywa lala
Kama ni kauji, ooh tulikula lala
Hata kapepsi no, ooh tulikosa sana
Zaidi ya maji, ooh nasiutani rafiki rafiki
Ooh nasiutani rafiki rafiki
Mama amekuwa akiteseka sana
Na magonjwa kwa kupigwa Kwa kurushwa nanana
Kwa kupigwa kwa kukandwa kwa kurushwa aaaa
Bado Jalali ametulinda, akutuacha tuangamie
Bado Mwenyezi ametulinda, akutuacha tuangamie
Kabla uondoke ulitambua kanilikua sanii
Nikafanya Rabuka, nikafanya ni sitolia, nikafanya
Majirani wakuulizia msela ulienda wapi
Wateja wauulizia fundi alienda wapi
Watoto wauulizia jamani ulienda wapi
Watoto wauulizia baba Willy alienda wapi
Inabidi Niwadanganye, Eeh Baba ako ofisini
Inabidi niwadanganye, Baba ameitwa kazi
Ooh inaniuma Ooh inaniuma Ooh inaniuma aah
Moyoni inachoma moyoni inachoma moyoni inachoma aah